Wazazi wetu wanatuumiza sana wakati mwingine ukijiweka kwenye nafasi yake utaelewa kwann imekua rahisi kufanya alichokifanya struggle ya miaka kumi alafu hakuna kila kitu dah.
kahakiki NSSFkama alikua anakuwekea michango yako kama alikua anaweka basi tafuta kazi ya mda mfupi hata miezi 3 inatosha fanya tengeneza mazingira ya kufukuzwa alafu unaenda uchukua helayako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.