Recent content by Jiwe la Ukara

  1. J

    Mwigulu afuta Malipo ya Wajumbe Waliotoroka Bungeni, azuia Mabenki yasiwalipe!

    Wabunge wa Bunge la Katiba wanatunga Katiba ya Wananchi. Kwa lugha nyingine wanafanya kazi ya wananchi. Kwa maani hiyo wabunge na wajumbe wa baraza la wawakilishi wanafanya kazi ya wanainchi walio wachagua. Ningependa kujua kama Zuberi Zitto Kabwe anapokea posho ya 300,000/=.
  2. J

    Nafasi ya Scholarship kwa Msichana aliyesoma PCB

    Nashukuru kwa mwitikio wenu. Nimepata wawili.nitawasilisha majina yao kule wanakohitajika..
  3. J

    Waandishi wa habari wa Mwanza ndani ya mfuko wa mzee Juma Farijala

    Waandishi wa Mwanza wameweka maadili mfukoni. Wanaauza weledi na utu wao kwa bei ya aibu. Mzee Juma Falijara ndie mnunuzi mkubwa. Anajiita Mshauri Na. 5 wa Maadaili wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Mzee huyu hataki kuona Serikali ya CCM ikikosolewa. Kumkosoa Rais hataki kabisa. Waandishi...
  4. J

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Huwa nasema nje ya janvi hili, leo naomba niseme humu...HUWA SIMWANI ZITTO KABWE. Hongera kwa kuthubutu kutamka Ben.
  5. J

    Zitto, Habibu Mchange hana sifa za Kukunadi

    Na. Martin M. Malima Tangazo la Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe la kugombea Urais kama atapitishwa na Chama chake cha Chadema linaripotiwa na vyombo vya habari kuzua tafrani ndani ya Chadema. Binafsi sina hakika na uwepo wa tafrani hii ndani ya Chadema kwani naamini Chadema...
  6. J

    Jina la mto NGONO lamuudhi mkuu wa mkoa Kagera

    Sisi kwetu neno mana maana yake ni ****, lakini katika maandiko tunaambiwa wana wa israel walikula mana janwani.
  7. J

    Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

    Niaonavyo mimi Kauli za wabunge wa CHADEMA zinazowapelekea kutakiwa kuthibitisha ni uchokonozi tu. Mnyika na wenzake watakaposhindwa kuthibitisha na kuadhibiwa watahoji ushahidi wa Lema kuhusu PINDA kulidanganya bunge.
  8. J

    Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

    Shida ya maji ipo tangu uhuru.wakati analinunua shida ya maji haikuwako. SIASA UCHWARA!
  9. J

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Maneno ya Mwigulu yanalenga kuwatoa watanzania katika mada ya katiba inayohusu maslahi ya watanzania wengi...Hata hivyo hakuna anayeweza kuthibitisha maneno ya Mwigulu kwa maana Mbowe mwenyewe hajasema kitu.
  10. J

    Is Zitto Kabwe naive or a dangerous populist?

    Happy to hear from your side Zitto. If it is true that the statement was not the first, then woukd you agree with me that you are the cause of what happened in Zanzibar since the people of zanzab might have used ur statements to riot. I have been following Zitto's politics. On my side what the...
  11. J

    Philipo Agustino Mulugo ndie Amimu Agustino?

    Mhe. Mulugo, Naibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alisoma High School Songea Boys kuanzia mwaka 1994-1996. Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Songea Boys kipindi hicho anasema kuwa Philipo Mulugo wa sasa sio yule aliyekuwa Songea Boys kipindi hicho. Mtoa habari...
  12. J

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Haya mwisho wa ubishi ni hu hapa! Salutation Honourable Member picture First Name: David Middle Name...
  13. J

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Salutation Honourable Member picture First Name: David Middle Name: Zacharia...
  14. J

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Salutation Honourable Member picture First Name: David Middle Name: Zacharia...
  15. J

    Kifo cha Sumari: Kamanda Nasari piga jaramba

    Tumwombee mbunge mteule wa Arumeru Mshariki Jeremiah Sumari apimzike kwa amani... Ukweli ni kwamba baada ya kifo chake lazima kiti kizibwe.. Kamnda JOSHUA SAMWELI NASARI anaweza kujipanga kutimiza ahadi yake. Agali matokeo ya NEC mwaka 2010. ARUSHA...
Back
Top Bottom