Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

​hilo ni jizi la epa uza vx na mpaka utauza familia yako 2015
Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake. Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao. Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!
 
Kulikuwa hakuna tatizo au hakuliona wakati ananunua gari hilo?? au gari hilo alilinunua kabla ya ubunge??
 
​wenzake akina ndesamburo hawatangazi sababu wanafanya kutoka moyoni hilo chemba linataka masifa tu,mtoa sadaka hajigambi.bakhresa,mengi
 
Mwishowe mtasifia akitokea Mbunge anafanya Uchangudoa awapo Dodoma na mapato ayapatayo kwa kazi hiyo anapeleka jimboni kwake kununulia Madawati.
Mtasema hongera Mbunge (CCM) jimbo la ........... kwa kujitoa kuuza uchumi wake binafsi kwa ajili ya maendeleo ya jimbo lake. Hapo ndio mwisho wa akili zenu, Mbunge anatakiwa kuja na mikakati ya Maendeleo katika jimbo sio kutoa mali zake maana atatoa ngapi?
 
anastahili pongezi, kwani wenye moyo wa uzalendo wa kweli wapo wachache, wengi wanatumikia matumbo tu.

Kwani kuna shida gani akiuza hilo wakati alilipata kifisadi tu. Hapo mbona kama anawalaghai wananchi wake? Kwa ufisadi aliofanya alistahili kuuza zaidi ya hilo gari kuhudumia wananchi wake achen propaganda za kizamani.

Sasa anataka kusema wabunge ndio wenye wajibu wa kutoa huduma ya maji au. Failure CCM Gov.
 
Hata EL atasema hivo hivo lakini wote ni magamba tu.Mulize alivo uza hiyo gari sasa hivi anatembelea nini?Je haikiwa wakato wa uchaguzi alivyofanya hivo?Hakuna la maana.
 
Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!

Mwigulu alikopeshwa fedha za walipakodi ili awe na gali litakalomrahishia kukutana na wananchi wa iramba kwa urahisi.

  • Je anaweza kutuhakikishia kuwa amemaliza kulipa mkopo huo?
  • Kama hajamaliza kulipa, je mkataba wa mkopo na selikali unamruhusu kuliuza gali hilo kabla hajamaliza kuulipa?
  • Kodi aliyosamehewawakati ananunua gali hilo ameilipa?
 
Hivi huyu anadhani propaganda kama hizo zitamsafisha? Ni mchafu tu, hata afanyeje ataendelea kuwa mchafu!!
 
Mwenye macho haambiwi tazama! Haichukui akili nyingi kutambua kipi ni rushwa na kipi ni uzalendo.

Tangu lini mla rushwa akafanya jambo la uzalendo!!!!!!!!

Mkuu hebu nisaidie maana ya Signature yako...

Venceremos. Nchi au kifo!
 
Mkuu mbunge halazimiki kutumia fedha zake kwa maendeleo ya wananchi kwa sababu serikali ipo. Lkn kama serikali inachelewa kuleta hayo maendeleo na mbunge anaona hilo jambo liko ndani ya uwezo wake, basi ni vyema kama ameguswa afanye...sii dhambi bali ni mfano wa kuigwa

Mkuu huo sio mfano wa kuigwa, bali mimi naichukulia kama anapotumia mali yake binafsi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wake anatoa rushwa ili achaguliwe tena. Ingeniingia akilini kama Serikali imechelewa kuleta maendeleo, angeshauri Wadau wa maendeleo kufanya hiyo kazi na ahakikishe sustainability ya huo Mradi hata kama yeye hatachaguliwa tena, lakini mtu anapotoa pesa yake mfukoni, halafu asipochaguliwa anaondoka na mradi husika !!!
 
Hivi mnaamini maneno yake moja kwa moja hivihivi tu? "kwamba kauza gari"? anyway pamoja na yote sidhani Mbuneg anatakiwa kutumia pesa yake binafsi kununulia pump wananchi na akasimama kujitangaza tena bungeni,,wapiganie mfumo
 
Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!
ila alimalizia kwa kuunga mkono hoja mia kwa mia.........
 
Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!

ALIMUUZIA NANI??LINI??SHILINGI NGAPI??WEKA REGISTRATION NUMBER YA HILO VX G8 HAPA NA KADI YA UMILIKI??ALILINUNUA WAPI LINI KWA MAPATO GANI???NANI ALINUNUA HILO GARI

PUMP ILINUNULIWA KWA SHILINGI NGAPI WAPI NA LINI??WEKA RISIT HAPA

USISAHAU TAREHE KWENYE KILA ITEM MENTIONeD
 
Mkuu hebu nisaidie maana ya Signature yako...

Venceremos. Nchi au kifo!

Naona umetafsiri maneno na sio ujumbe! Haya yalikuwa maneno ya mwanapinduzi wa Cuba, Commandante Ernesto Che Guevara. Alimaanisha Ushindi daima, na alikuwa tayari kuifia nchi yake katika harakati za ukombozi!!
 
Kwa hiyo Mungulu naunga mkono hoja ya serikali kuuza mashangingi ili kununua vifaa vitakavyowasaidia wananchi kutatua matizo waliyo nayo?
 
Huo ni upuuzi mtupu ok amenunua PAMPU za maji kwa kuuza V8 alilokopeshwa kama mbunge je baada ya hapo matatizo ya JIMBO lake yameisha na madawati shuleni,ukosefu wa pembejeo,ukosefu wa ajira,ubovu wa barabara izo kero nazo atazitatua kwa kuuza nini? huyu ni mpuuzi kabisa kazi yake ni kuisimamia serikali ipeleke maendeleo kwa watu wake kwa kutumia kodi tunazolipa kama ni kuuza vitu atauza hadi chupi za mke wake lakini kero za jimboni kwake zitabaki pale pale.
 
Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!

Ni udhaifu wake wa kushindwa kushawishi serikali ipeleke pampu jimboni..hana haja ya kujisifia
 
Back
Top Bottom