Recent content by jiwe gumu

  1. J

    Mwantumu Mahiza: Waandishi wa Habari mnaogopesha wawekezaji kuonesha picha za ajali.

    Huyu kachoka.Vyombo viripoti nini kama siyo pamoja na ajali zinazotumaliza?Umenikumbusha siku mh Lisu alipoomba mwongozo wa naibu spika ili ajali ya meli ijadiliwe,akakataliwa.Kwa CCM ni sawa tu ukiweka picha ya Paris kwamba ndo Dar es Salaam.Kila mwaka wanakuja na takwimu za ukuaji wa...
  2. J

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    CCM sasa ndo wamechoka kabisa.Nape amebaki kuitisha mikutano na waandishi wa habari Lumumba Dar.Nape nenda kwa wananchi kuwaeleza/kujibu hayo ya Chadema,nadhani mnaogopa maana hamtapata wasikilizaji.CCM imekuwa chama cha kutoa matamko ya hisia.Hoja inayojadiliwa na chadema kwenye M4C ni umuhimu...
  3. J

    Dr. Slaa kuunguruma Kilosa leo.

    haaaaaaa(kicheko)kazi kweli kweli.`2015 chadema isiposhinda ,naacha siasa,..`Mh Mbowe Freeman.Kamanda alikuwa serious.Naaza kuona maana ya maneno yake.Msisahau kuchangia sh 50,1oo,1000 nk wakati wakipitisha bakuli.
  4. J

    Operesheni Vua Gamba Vaa Gwanda (M4C) yazoa Tarime, Newala

    Kazi nzuri ya CDM.Hakuna kulala mpaka kieleweke.Sasa sijui Nape atajitetea nini.Maana huyu bwana kwa propaganda ndo mwenyewe.CCM wamebanwa kila pembe..bungeni,vijijini,mijini,kwenye umaskini,elimu,afya nk.Nape kazi unayo.Kipimo cha mambo yote 2014 wakati wa uchaguzi wa serikali za...
  5. J

    Tanzania: Shilling Loses Ground Against Dollar

    Nchi yetu imekuwa soko la wachina,korea na nchi zingine za Asia.Ukienda dukani au wanakoita super market hakuna bidhaa za Tanzania.Hii ndo inaitwa nchi ya digital.Labda tunajitahidi kwenye vileo(bia,brandy nk),huko ndiko tunakusanya kodi.
  6. J

    Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    nimeipenda hii.Imenikumbusha siku siku Rais anatoa hukumu ya waalimu kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi,maana kesho yake mahakama ikamalizia kazi aliyoanza Rais.Hii mihimili ya kishikaji(ilikuwa serikali ya washikaji bila kujali taaluma na uwezo wa mtu,sasa mahakama nayo imeingia).Washauri wa...
  7. J

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    Aina ya viongozi vijana ninaowapenda ni pamoja na ZZK.He is my role model.Wakati wa miaka ya `60 vingozi wengi wa Afrika walikuwa umri wa Mh Zito.Maisha ni mafupi mh Zito,wakati hautusubiri,tuache maneno mengi,naomba uwataje ndani ya wiki moja kama CCM hawatawataja.Tunataka maisha bora sasa kwa...
  8. J

    Jafo kupokelewa kishujaa kisarawe!!!

    Kwani nani waliopitisha hiyo sheria ya mafao?Si ni hao wagonga meza,maana ndo wengi.Sijaona cha ajabu alichofanya,maana shinikizo lilikuwa kubwa toka kwa wafanyakazi,serikali walibanwa kila kona.Hao wapiga kura wake wanaelewa wanachoshabikia,ni wangapi watafaidika na hiyo sheria?Muhimu ilikuwa...
  9. J

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hiki Chama cha Mabwep(samahani..)Mapind kinaweweseka.Chadema wamesema budget ya M4C.Wanategema kukusanya michango tsh5bln(dsm) .Nape unashangaa nini sasa?Kwamba hizo pesa ni nyingi sana?Wananchi tunaweza kujiletea maendeleo wenyewe na kuyafanya mambo makubwa yatokee.Tatizo la CCM akili zao...
  10. J

    Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

    Watanzania tunachotaka ni maisha bora,matumizi bora na sahihi ya raslimali,demokrasia bila kujali nani kiongozi atakayesimamia.Anayelilia nafasi fulani ya uongozi,fitina na mbinu chafu hafai.Wote tu viongozi kwa nafasi mbalimbali tukianzia kwenye familia zetu.
  11. J

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    Niliona mapokezi ya Dr Ulimboka JNIA.Kweli Mungu amemwokoa Dr kutoka kwenye mikono ya mibaya.Watanzania tunataka huduma na matibabu bora kama ya nchi za wenzetu.Wangapi tunaweza kumudu gharama ya matibabu ya Dr Uli?Naomba tupate katiba itakayotupatia fursa ya kupata matibabu bora,elimu bora na...
Back
Top Bottom