Recent content by jiwe gizani

  1. jiwe gizani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

    Naona umeachiwa mkuu [emoji1]
  2. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Money Heist - Season 5 imetoka

    Kwangu mm hii money heist haina maajabu
  3. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

    Huyo sista duu uliyemkuta ulikua humjui au alikua anakaa kwa mtu ulie mpangishia?
  4. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

    Wanataka uishe haraka ilimradi tu ununue mwingine
  5. jiwe gizani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

    Ungemkuta hajachoka ungejiskiaje?
  6. jiwe gizani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sema tu ni wewe mkuu
  7. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Tafakari na Kipanya: Mchungaji anaacha mifugo ijiongoze yenyewe

    Picha haina uhalisia na kinachomaanishwa Hivi hapo unawezaje kukaa mbele ya mifugo na kuiongoza?? Mifugo inaswagwa kwa nyuma na sio kwa kukaa mbele alafu ikufuate
  8. jiwe gizani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

    Nimeishia kwenye hata uwe huna pesa.
  9. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

    Wewe nani mpaka uchanjwe maji?
  10. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

    Weka picha tuone ukichanjwa.
  11. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Inside a US transport taking off from Kabul

    Hope wekaguliwa hao watu....wasije wakajilipua humo ndani
  12. jiwe gizani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mrembo simuelewi...

    Huyo ukiendelea kumtongoza atakukataa miaka buku Kiufupi huyo ni wako haijalishi upo wewe au mpo wengi We mualike geto kwako akija ndo unamaliza huko huko
  13. jiwe gizani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jamaa anasubiria hela ya business mkuu [emoji1]
  14. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Mjerumani mwenye asili ya Tanzania ashinda dhahabu mashindano ya Olimpiki

    Angekua anaiwakilisha Tanzania angeshindwa tu
Back
Top Bottom