Tafakari na Kipanya: Mchungaji anaacha mifugo ijiongoze yenyewe

Picha haina uhalisia na kinachomaanishwa

Hivi hapo unawezaje kukaa mbele ya mifugo na kuiongoza??

Mifugo inaswagwa kwa nyuma na sio kwa kukaa mbele alafu ikufuate
Labda alimaanisha inakoswagwa kuna muinuko mkali kiasi ya kuporomoka na kumjerui mswagaji?
Hata hivyo mifugo yenyewe inaonekana haina habari kama kuna mchungaji wao.
Tafsiri ni nyingi kwa mfano "mtoto mdogo unampa jukumu kubwa la kuchunja mifugo mamia porini "
 
Angechora mifugo imeparanganyika kila mmoja anajiendea kivyake ingeleta mantiki zaidi au basi angechora korongo mbele kisha mifugo inajiendea na kuporomoka walau inge make sense
 
Kuna nchi moja Afrika Mashariki inaendeshwa na ki kundi kidogo cha watu, ni nchi kubwa lakini waswagwa tu kama ng’ombe.
 
Picha haina uhalisia na kinachomaanishwa

Hivi hapo unawezaje kukaa mbele ya mifugo na kuiongoza??

Mifugo inaswagwa kwa nyuma na sio kwa kukaa mbele alafu ikufuate

1629275075089.png

1629275883219.png
 
Back
Top Bottom