Recent content by Jituoriginal

  1. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

    Hii taarifa una uhakika nayo...usitake kushushua hadhi YA JF, SASA inabidi kuhakiki taarifa zinazoletwa humu kama zina ukweli..zamani Jf ilikuwa kisima cha habari zilizofanyiwa upembenuzi yakinifi..sasa hivi mtu akilala akiamka anaposti ujinga
  2. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Pole sana..nitafute kuanzia kesho kutwa kuna sawa nilitumia hakika ilisaidia sana ...0784426055
  3. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya private nzuri maeneo ya Gongolamboto/Chanika

    Heritage tatizo lao usafiri unaishia Taliano...
  4. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya private nzuri maeneo ya Gongolamboto/Chanika

    ABC nashukuru nitawatembelea
  5. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya private nzuri maeneo ya Gongolamboto/Chanika

    Wadau, nimehamia hivi karibuni Buyuni Italiano kama unaenda Chanika. Namtafutia mwanangu shule, ili mwakani aanze darasa la kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, na iwe na usafiri wa kumchukua nyumbani na kumrudishia, sitaki shule zinazowashusha stand watoto na kuwaacha...
  6. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwenye Simu Yangu TECNO Camon C9

    Hapo unalo hiyo simu sasa ni kopo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya condom

    Sana nimegonga mademu kama watatu nimekutana nao wote sasa ni wagonjwa nimepima mara kibao kila mwezi...wife kapima wote tuko poa...lakini bao la peku tamu
  8. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya condom

    Kondom zinasaidia
  9. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania softwaye gani nzuri ya kudownload files za YouTube kwa Android devices

    tube mate ndio sahihi ninatumia zaidi ya mwaka ...haijaharibu simu
  10. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Leo ndio umeonekana umuhimu wa JamiiForums

    Wameumbuka
  11. Jituoriginal

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI)

    Dci sio DPP.... Alikuwa Rpc Mbeya
Back
Top Bottom