Recent content by Jitulambagu

  1. Jitulambagu

    JamiiForums Tanzania Matukio Halisi Yanayothibitisha Uchawi – Utashangaa!

    Upo tokea kitambo
  2. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Story nzuri yenye mafunzo kwa vizazi na vizazi
  3. Jitulambagu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

    Aaah we jamaa
  4. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Unajidanganya pole
  5. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Mara kibao tu mboni hufanyika
  6. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Hufatilii mpira wewe
  7. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Simba wako sahihi kwa mujibu wa kanuni, kiuhalisia huwezi kumpangia mtu aingiaje, apo mtani kachemka
  8. Jitulambagu

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

    Hili taifa la israel ipo siku mungu atalikomesha, kiufupi hizbolah na hamasi wako sawa tu kutetea maana maafa yanayotokea Dunia ipo kimya
  9. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu nawezaje toa ela kirahisi kwenye 1xbet tofauti na mobile payment ambayo kwa sasa haipo?
  10. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utofauti kwenye odds
  11. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa watumiaji wa 1xbet na 888 starz cheza option hii ya saves over 3.5 weka game 4, odds zina range 1.1-1.15 kwa game 4 hukosi odds 1.6 weka ela ya kutosha ata kuanzia 20k ni hatari sana nimecheza kama mara 8 mfululizo no lost.
  12. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inakuja hivi, hakuna mitandao ya kawaida
  13. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu una withdraw vipi kupitia mitandao ya kawaida, au mawakala wanafanya kazi bado?
  14. Jitulambagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GSM na Hersi mmekivuna mlichokitaka kwa Manara

    Ni kweli kabisa, tamasha lilinoga ila katikati ya utambulisho wa wachezaji kilichofuata hata haikua na ulazima Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom