Imezoeleka Tz kuwa ni kichwa cha wenda wazimu ktk soka na cha ajab zaidi Ukweli wa maneno haya bado timu za mpira zinauthibitisha.Licha ya jitihada kadhaa za TFF ,serikali,Vilabu na taasisi mbalimbali ktk kuibua vipaji vya vijana tatzo bado vipaji vinavopatikana haviendelezwe,nafkir tutaungana...