Tatizo kalitafuta makusudi kosa iloilo unalirudia huo ni ukosefu wa akili kama lingekua kosa la kwanza watu wangempigia kelele lakin kosa analifanya makusudi tena analiruda tena kumdhihaki raisi tena kipindi cha kampeni kinakuja nani yupo tayari kutetea ujinga wake hata kama ingekua wewe mtoa...
Halafu hawa chadema wanakwama wapi Mbowe anajulikana mlafi alafu wanakubali kuchanga pesa nyingi dah kweli wajinga ndio waliwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatakiwa apate adhabu kali mpaka najua kuwa Raisi ni mkuu wa nchi vijana waumbavu kama hawa hawaitajiki kudharau viongozi wa nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sio yakufurahia hata kidogo tatizo linaletwa na serikali haiangalii migogoro kama hii kwa jicho la tatu unaweza kukuta pengine hili jambo wamelipeka kwenye mamlaka husika wao wakafanya mzaha matokeo ndo haya dah so sad Allah awaponye majeraha yao
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.