Recent content by Jitsu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maisha ni miujiza, ni nini kimewahi kukutokea kwenye maisha yako na ukasema 'This isn't me.. it's a miracle'

    Exactly kuna watu tangu tunajitambua mpaka uzeeni mwetu tunaamini ni miracles za Mungu tuu, ni mpumbavu mmoja tuuh asiyejua what really happens in this world ndiye anaweza ku-crash ulichoandika
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

    Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi, wako wapi,... Balozi bado nipo ninatamba kwenye chati, kwenye chati,... Nashika ile ile ile moja nambaaa natambaa,........ Song by Balozi dullasol-wengi walikuwepo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

    Jumba bovuuuu limeniangukiaaah, sikufanya wamenisingiziaaah
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kashaenda Sober house Mara 2 lakini akirudi anaanza upya kutumia madawa, tunamsaidiaje

    Kwa hiyo ID yako, wala sishangai
  5. J

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Hahaha wosia mkuu huu!! Nimeuchukua kaka, tuombeane nikazikabili changamoto
  6. J

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Thanks a lot chief
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera mzee hiyo ndio ya muhimu na ndio official, hiyo pdf haina urasmi wowote
  8. J

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Custom officer II
  9. J

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Thank you man
  10. J

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Jamani nashukuru Mungu pamoja na hofu ya kuogofya niliyokuwa nayo, nimepata email ya kuitwa kazini, sifa za pekee ziende kwa Mungu wetu, jina lake lihimidiwe,.... Am really happy for this
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa admission sina uzoefu nako, ila kwa accounts pitia fundamentals za accounts like account equations, principles and concepts za accounts, characteristics of accounting/financial statements, components of financial statements, cash flows and its contents, types of correction of errors, bank...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama mgeni Dodoma, ukifika dodoma chukua gari zinazoenda UDOM shukia social(hii unaweza ukamwambia konda, ingawa possibly ukakutana na interviewees wenzako mkongozana
  13. J

    JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    Kwa zinazovuma tokea ndani kabisa, tokeo linaachiwa this week tuweni na subira,...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Kuna uzi humu ilikuwa unaelezea fursa za biashara zilizoko kwenye visiwa vya comoro na Mauritius na ulikuwa uzi poa sana nakumbuka na wadau wakawa wameanza organize kusafiri kwenda kwa pamoja ku confirm hizo fursa, ilikuwa inasifika kuwa matunda na mbogamboga za majani ukipeleka kwa hivyo visiwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ajira.go.tz
Back
Top Bottom