Recent content by jitombashisho

  1. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ni laghai?

    Ndiyo ajabu leo yeye ameweka kwenye ukurasa wake wa tweeter akidai eti ni leo yupo huko watu wamefukunyua weeee ndiyo kujiridhisha si ya leo.
  2. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ni laghai?

    Kwa akili yako yule ni mdhamini ama mpigaji?
  3. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ni laghai?

  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ni laghai?

    Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter ameweka picha ya mwaka 2017 yenye logo ya timu ya Juventus halafu leo a anadai eti yupo Italy jambo ambalo si kweli! Je, Mo ni laghai?
  5. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

    Ukweli mchungu kutoka kwa mtu mwenye msimamo wa kweli bwana Chalamila. Huo ndiyo uongozi kusimamia unachokiamini.
  6. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Huo ujumbe unafikirisha sana. Watanzania wenzangu tukumbuke kujilinda na magonjwa ya ili nasi tuwe na mioyo ya nyama na si ya mashine za grasi ambayo muda wowote inaweza kupasuka. RIP JPM.
  7. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Kwanini unataka kutufanya wananchi wajinga?! Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
  8. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Shaka aambiwe hata kukosolewa Rais Samia ni uhuru wa maoni binafsi

    Ukiamua kuachia uhuru na umaanishe.
  9. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

    Binafsi naamini mheshimiwa Rais alighafirika tu kutamka kwamba tunayo akiba ya US $ 6253 Bl. Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu vitu vinginevyo ni muhimu kuvisemea mapema ili kuondoa sintofahamu zisizo na mashiko.
  10. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Hamkani hali si swari! Samia kemea hiyo tabia mnajimaliza wenyewe.
  11. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Peter Serukamba: Spika aache shobo

    CCM tumerogwa? Khaa!
  12. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Mwingira hana adabu.
  13. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

    Magufuli hakufa kifo cha kawaida...
Back
Top Bottom