Recent content by jitizame

  1. jitizame

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

    Naomba kujua masharti ya kupanda hii SGR. Nisije acha mizigo yangu station.😊😊
  2. jitizame

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Naomba kuuliza hivi kama mtumishi aliomba kibali toka kwa katibu mkuu utumishi cha kuhama na akapata sasa aliomba toka mwezi wa pili kimetoka sasa huu wa 6 Kipindi hiki hana hat hamu ya kuhamia huko tena kwa sababu ya mbalimbali .je anaweza asiende tena huko na kusiwe na shida yoyote?? Naomba...
  3. jitizame

    JamiiForums Tanzania Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Mje muitembelee shule shule yenu sasa Sasa hivi madogo wanakula practical za kutosha.
  4. jitizame

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu walimu

    Kasome kozi moja ya OSHA ni wiki mbili tu Utakuja simulia hapa
  5. jitizame

    JamiiForums Tanzania Serikali kaeni chini na Zuchu awasaidie kuboresha elimu

    Nikisikia tu unaitwa profesaa najua hamna kitu kichwani
  6. jitizame

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watumishi Ajira Mpya (Sikonge na Rombo) hatujalipwa Fedha za Kujikimu, tunapigwa danadana

    Mifumo ya ajira ibaki kuwa Utumishi tu Lkn sio kila taasisi iajiri Ndio shida hizi zinatokea
  7. jitizame

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watumishi Ajira Mpya (Sikonge na Rombo) hatujalipwa Fedha za Kujikimu, tunapigwa danadana

    Unaongea utumbo ndugu Kasome sheria za utumishi. Ukitaka hivyo wafute hicho kipengele.
  8. jitizame

    JamiiForums Tanzania Mshahara mwezi September

    Naona na ww photo Lab imekufikia[emoji5][emoji5] Pambana kutafta income ingine usahau unaowadai
  9. jitizame

    JamiiForums Tanzania Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

    Emmanuel julius mollel ( a.k.a.rich kid)
  10. jitizame

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtoto mdogo asiyekuwa na dhambi anabatizwa?

    Mmesoma wapi hiyo ubatizo.?? Mtoto mdg huwekwa wakfu tu na baraka. Ule sio ubatizo.
  11. jitizame

    JamiiForums Tanzania Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

    Hii ni habari njema sana kwangu hii kampuni imenidhulumu viwanja sita na huyu yona anamajibu ya dharau akiwa na wenzake emma. Alieafanikisha kupatikana kwake MUNGU atamlipa. Aemdhulumubwanafunzi wa vyuo viwanja kuanzia Chuo cha maji,kampala chuo cha maendeleo na udsm.
  12. jitizame

    JamiiForums Tanzania Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Siku jaribu kupanda KIDAU Utaona bora ya hiyo
  13. jitizame

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Huko hawatoweza kupiga pesa vzr.
  14. jitizame

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

    Ht km unamkubali mwanamke kwa kiasi gani usiwekeze moyo wote huko. Kuna mda unatakiwa uishi nae km jirani tu
  15. jitizame

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake zetu kutunyima, hii ina maana gani?

    Huyo mkeo hana akili Hlf baadae atakuja kusema umevunja uaminifu kumbe yy ndio kalianzisha. Wanawake mliopo humu kaeni mjue kinachowaunganisha ww na mmeo ni kitumbua tu .ukimnyima ujue ataenda nje Msilalamike.
Back
Top Bottom