Recent content by Jitindejangongwa

  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    wanao! si ndo hapo wanaposomea
  2. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    kwani wanataka kufukuzana tena?
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini ndoa za sasa hazidumu?

    Hivi jamani wadau naomba mnisaidie, kuna nini katika kizazi hiki cha dot com? Kwa nini ndoa hazidumu? Nini kifanyike ili ndoa zidumu?
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye HIPS kubwa ni WEREVU zaidi kuliko wasio na HIPS!

    UNA AKILI SANA MKUU!!! sijui na wewe umefungasha?! hivi nikisema wenye macho makubwa wanaona sana wanasayansi wa chuo kikuu cha makelele wamethibitisha itakuwa ni kweli?!!! HEBU TUTHIBITISHIENI HAYA MANENO TUSIBAKI NA SHAKA!. isijekuwa sayansi kimu hii.
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wapendanao tu!

    UJUE KITENDO KINAITWA KUFANYA MAPENZI! MAPENZI! sasa mapenzi na kupenda unatofautishaje?
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wapendanao tu!

    utazini na mtu usiyempenda?
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wapendanao tu!

    Mie kwangu siku zote mwanamke ndiye mwenye makosa, Mwanaume huwa akosei teh teh teh teh ....... KWA HIYO UTAMDUNDA AU UTAMPA TARAKA?
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wapendanao tu!

    Uko na mpenzi wako na mnapendana sana na ikafikia hatua mkaoana na mnaishi pamoja ila wote kila mmoja kwa wakati wake ana mpenzi wa kando (siri yake). siku moja kwa bahati mbaya kila mtu akiwa na mpenzi wake wa kando mnakuna koridoni katika nyumba ya kulala wageni! ndo kwanza mnaingia kuzini...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nimeku "miss" kwa kiswahili

    hivi unamwamnbia mtu nimekumiss wakati ukiwa nae au ukiwa mbali nae? maana utaona mtu kamkumbatia mtu halafu anamwambia nimekumiss sana!
  10. J

    JamiiForums Tanzania "dunia duara" "kila kona ya dunia"

    jamani wataalam naomba nisaidieni haya maneno maana ninaamini nilichofundishwa darasani kuwa dunia ni duara. lakini sasa kuna hili neno utasikia kwa mfano "kila kona ya dunia" sasa nimekuwa nikijiuliza huu msemo wa kila kona ya dunia wakati duara halina kona umetoka wapi na hadi ukajijengea...
  11. J

    JamiiForums Tanzania kiswahili kinabakwa nani akitetee

    jingo ni sauti iliyorekodiwa na huwekwa mahususi kila baada au kabla ya kipindi au hata kati kati ya kipindi. mfano mmoja ni huo nimekupa baada ya kipindi cha DIRA YA DUNIA ambacho hurushwa na Idhaa ya kiswahili ya BBC kupitia radio one na RFA ukisikiliza mwisho wa matangazo hayo kwa radio one...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madume bora yako usukumani

    njoo mwanza kama utarudi pwani! ila tu uwe na sifa kwanza mweupe pili mrefu! hizo tu utapata ng'ombe therasini na kadhaa
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madume bora yako usukumani

    washafunguka sio ngosha tena! tembelea mwanza ushangae
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madume bora yako usukumani

    uelewa wako unanitia mashaka! soma sifa namba 13
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madume bora yako usukumani

    mikono ya sweta
Back
Top Bottom