Swali kwa wapendanao tu!

Swali kwa wapendanao tu!

Yan hapo nitamdunda huyo jamaa aliechukua mke wangu, namke wangu asipofanya hivyo kwa dem wangu wapembeni, nae namuangushia kipigo nyumbani.
Wako anauma na weye unapochukua wa wenzio? Basi yoyote mtakayo mtendewe na watu, na ninyi muwatendee vivyo hivyo
 
Haiwezekani, wakati mimi nime-plan kumvalia condom malaya niliyemchukua, nitajuaje labda njemba litamchapa kavukavu mke-wangu. Hapo inaweza kuwa ndio mwanzo wa kumchapa mke wangu na condom hadi kwenda kupima, na vilevile inaweza ikawa mwisho wa ndoa.
Mi nashangaa sana kwa nini uibe bac kama mateso yake ndo haya?
 
Mwisho wandoa ?? unajuaje na huyo kicheche uliyenaye anawangapi baada ya wewe?
 
Hamna mwenye makosa,kila mtu atafanya kilichompeleka gesti,maswali mengine tutaulizana tukirudi home

Maswali yanini tena wakati kila mmoja anajua alichofuata hapo?ni kupiga kimya maisha yanaendelea,atakaye umia roho na kuona yamemshinda awe wakwanza kufunga viragoooo!
 
Mi nikimuona nitamwambia ''afadhali mume wangu nimekuona yaani nilikuja huku na huyu kijana kuja kukutegeshea tu, kama kweli yale maneno ya watu kuwa unanicheat hivi ni kweli? Na sasa nimejionea,,,,,, mume mbaya sana wewe!!!!!!!'' then namuaga hawara wangu ki-umbea udmbea.... ''haya kaka asante nashukuru sana kwa msaada wako msalimie shoga angu Ablessed'' yule hawara akisepa namvuta demu wa mume wangu namtia makwenzi!!!!!!!!! Then namshika mume wangu mkono kwa hasira fake huku natoa lawama juu yake haoooooo hadi home!!!!!!
Ya kweli hayo hiyo nguvu ya kutamka yote hayo utakuwa nayo? Yaani hapo kila m2 atakuwa speechless kwa kutekewa
 
Last edited by a moderator:
Ooh kumbe hapo uta-apply mfumo dume eeh kulikoni kumchapa mkeo ilihali hapo mmetoka ngoma droo.

mfumo dume unasaidia kumuepusha mke kuingia kwenye majanga, mwanaume ni tofauti mno na mwanamke haswa linapokuja swala la kuchukua tahadhari kwenye majanga mbalimbali, mara nyingi mke akitoka nje huwa anajiachia to the maximum, tofauti na mwanaume(ingawa wapo wachache vichwa maji) . mwanamke ni mwepesi ku-ignore hatari haswa anapokuwa amepagawa na mtu, labda itokee bahati huyo mtu awe muangalifu.
 
Mi nashangaa sana kwa nini uibe bac kama mateso yake ndo haya?

Sasa si unaona kuiba kwangu kungenifanya nikutane na mke wangu maeneo hatari, kama ningekuwa siibi then nisingejua kama naibiwa. Kwa maana hiyo hata kama ningekuwa siibi, mke bado angeibiwa na bado angeendelea kuibiwa.
 
Uko na mpenzi wako na mnapendana sana na ikafikia hatua mkaoana na mnaishi pamoja ila wote kila mmoja kwa wakati wake ana mpenzi wa kando (siri yake).

siku moja kwa bahati mbaya kila mtu akiwa na mpenzi wake wa kando mnakuna koridoni katika nyumba ya kulala wageni! ndo kwanza mnaingia kuzini! pale nani anamakosa? na kama wewe ni mwanamke utachukua hatua gani na ukiwa mwanaume utachukua hatua gani?

kwa kuwa umesema kando basi ntamuweka kando halaf tunafanya yetu rahisi tu..
 
Mwisho wandoa ?? unajuaje na huyo kicheche uliyenaye anawangapi baada ya wewe?
hapo wala nisingemuoa huyo kicheche pia, ninge concentrate kwenye kulea watoto wangu (paternal test confirmed) na kuendelea ku make money zaidi kwa future yangu na watoto.
 
Sasa si unaona kuiba kwangu kungenifanya nikutane na mke wangu maeneo hatari, kama ningekuwa siibi then nisingejua kama naibiwa. Kwa maana hiyo hata kama ningekuwa siibi, mke bado angeibiwa na bado angeendelea kuibiwa.

third newton's law of motion "in every action there is an equal reaction" kwa hiyo hapo haiwezi tokea mmoja aibe mwengine asiibe..
 
third newton's law of motion "in every action there is an equal reaction" kwa hiyo hapo haiwezi tokea mmoja aibe mwengine asiibe..

no no no hiyo hai-apply hapo. wapo wengi tu ambaye mmoja anaiba na mwenza haibi.
 
Mie kwangu siku zote mwanamke ndiye mwenye makosa,

Mwanaume huwa akosei teh teh teh teh .......

Aisee,km umeoa namuonea huruma mkeo,km bado namsikitikia huyo ataekuja kuwa mkeo!!
 
Utampa mkeo kondom, atapokea wataingia chumbani kumalizana na huyo jamaa yake, je ukisikia makelele ya mkeo ambayo hujawahi kuyasikia tangu umuoe itakuwaje? Utavumilia?
 
utazini na mtu usiyempenda?

Upo tayari tuweke mjadala wa hicho ulichokiandika?

Anyway jibu jepesi ni kwamba zinaa ni matokeo ya tamaa, hivyo ili uzini si lazima upende.

Tamaa haian uhusiano wowote na kupenda, unaweza ukatamani na bado ukawa hujapenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom