Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Ya kweli hayo hiyo nguvu ya kutamka yote hayo utakuwa nayo? Yaani hapo kila m2 atakuwa speechless kwa kutekewa
kuna watu wamebobea kwa uzinzi na uongo so ata wakifumaniana kidizain hiyo lazima maneno yawatoke