Recent content by jipange

  1. J

    JamiiForums Tanzania Carina Ti inauzwa

    Mi nina Si
  2. J

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar wamekaa kidili dili tu

    Kuna rafiki yangu alikuwa anaishi uku atwn akaja pata kaz uko dar lakin sasa ivi simwamin kabisa. Hakiwa uku atwn alikuwa mkweli sana ukimkopesha atarudisha tu. Lakin toka aingie jiji la dar namdai kama 4m ivi kila wakati ni ananipiga kiswahili ni mwaka sasa unepita nimeamua tu nimwachie...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar wamekaa kidili dili tu

    Dar ni kweli kabisa watu wanaishi kiujanja ujanja tu. Na pia waongo sana watu wa dar maneno mengi sana.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ndege nazo huoshwa kama magari?

    Yah ndege uwoshwa ila kwa utaalam kidogo si kama gari. Kwani kuna siku nilichek kwenye national geograph documentary ya crash investigation kuna ndege uku europe sikumbuki nchi ila ilioshwa vibaya maji yaliingia kwenye ki circle uwa kipo kwenye ndege kwa nje naisi ni radar inayomsaidia rubani...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Dkt John Magufuli: Nisamehe, sikukuamini

    Ha ha ha da
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwendo wa korosho na maji!

    Tulishaona usanii wa jk alipo anza kaz ndio mana nasema ivi.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwendo wa korosho na maji!

    Huu.ni usanii wa muda mfupi tu kwakuwa nchini ipo katika hali mbaya kifedha. Nitaamin pale kama ikiendelea kwa miaka 3. Lakin si sasa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Mangu afute miaka yote hapo nitamkubali sio kwa kuona mwaka huu ukata mkali ndo anasema watu tufanye kazi. Pia mbio za mwenge zifutwe.mwenge uwekwe makumbusho pale na ikiwezekana waweke interval ya miaka ndo ukimbizwe.angalau kila miaka3 ivi.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Ubadhirifu mkubwa TANAPA

    Huu ni uongo wa waz.kabisa.mtoa mada una kisasi na mr Kijaz.mim siipend ccm lakin kwa ili hapana ivyo vifaa ni msada vilitolewa.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: January Makamba ni hazina ya CCM akitumiwa vizuri

    Uyu janumoja ndo wakina jk awa sio watu wa kuwapa uongoz. Inchi ilikosa reader kabisa hatukuwa na dira ya nchi yaan tumekwenda tu kwa 10yrs
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dalili za Lema kuukosa ubunge

    Da jamaa upo arusha wewe?tuulize tulio arusha uku watu hawahitaki ccm ata magufuli akisema bandari ya dar iamie uku
  12. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: January Makamba ni hazina ya CCM akitumiwa vizuri

    Ningekuwa makufuli nisinge weka jina la uyu jamaa. Jamaa sio reader uyu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mhanga mmoja wa ajali ya mgodi wa Nyangalata Kahama afariki dunia

    Ingekuwa serikali makini awa watu wangepaswa wapelekwe hospital zuri na wawe chini ya uangalizi kwa.muda mrefu kidogo pia na psychological treatment wangewapatia. Lakin ndio ivyo tz.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Unafki wa karne wa Zitto Kabwe

    Ha ha ha umenifurahisha Zitto Zuberi Mrema!!!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wa Mazengo Complex tukumbushane

    Jamani mnakumbuka kiingereza cha Komba? Sleeping twice on a single chaga" alikuwa anamaanisha kulala wawili kitanda kimoja!
Back
Top Bottom