Atashindwa viabaya mno, wakni wana arusha wanahitaji waziri. Lema ni mropokaji tu, aende mwanza akatulize upepo wa kile alichokianzisha cha kuropoka halafu kaingia mitini? yeye alivyojiropokea kwani cdm hawana uongozi mpaka mropokaji kama yeye akaachiwa. Na ubunge lazima aukose!!! Wananchi wamestuka kwa sasa
Umeshakunywa dadii nini:what: Lema atashinda kwa kishindo mpaka mshindwe kupost ugoro wenu humu kwa wiki nzima, Archuga watu wana uchungu sana na fisiem, yaani hata hao waliompa tojo kura za udiwani sijui wametokea kona gani ya mkoa:what: tutaisambaratisha fisiem vibaya sana na kwa hasira😡