Recent content by Jino kwa jinokelele

  1. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

    Gazeti LA jamhuri halina vyanzo vya habari saivi !! Mmekoswa taarifa??
  2. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

    Hawa jamhuri ckuhizi hawana wakuwapa siri za serikari ndomaana cku hz wanaokoteza habari, Ss akinyang'anywa ulinzi itatusaidia???? Leten habari mhim.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria za kazi

    Kisheria mkataba umeji renew upya
  4. J

    JamiiForums Tanzania GEITA: Panda Kinasa, anayeteka watu apigwa risasi makalioni na kufariki

    Askari pigeni kz, hawa wanaolalamika niwalewale.
  5. J

    JamiiForums Tanzania GEITA: Panda Kinasa, anayeteka watu apigwa risasi makalioni na kufariki

    Wewe ulitakaje, Dawa nikuacha wizi nawewe km unabisha ? Kaibe
  6. J

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda kutumia askari 400 wa JKT kufanya usafi wa mazingira

    Wanaombeza makonda wachafu !!
  7. J

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Basi la Princess Hamida lagonga treni. Watu 10 wafariki na zaidi ya 26 wajeruhiwa

    Trafiki kwanini hawakai kwenye vivuko vya Gari Na treni? Nawakikaa wanasubili kukamata asiyesimama badala uakuongoza magari , wamebaki kukimbizana Na Pikpik kila kukicha, kikosi cha usarama Barabarani wapewe jeshi.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Huu mjadara sio, by by by
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Mapenzi ya nn tena?? Hata ukitongozwa utakubari?? Pereka mgonjwa akaombewe!! We umesema karogwa ,
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Wapendwa! Msigombane tafadhari, ila nawewe mwenye mgonjwa tunataka ufafanue kuhusu waganga7 kufa, walikuje? Ukizingatia umesema sababu ya maumbile makubwa ya Mzee wako, ndoo maana wasomaji wanaperekea na tangazo/ uchawi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Samani kido kunasentesi cjaielewa vzr, kwamba ukubwa wa maumbile ya mmeo umesababisha vifo vya waganga saba ,je ni waganga wakienyeji au? Naumesababishaje niweke sawa pls
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Rudisha imani yko kwa mungu wa mbinguni, km upo dar esalaam muone Mchungaji mmoja anaitwa Paul marekana pale magomeni Kanisa LA wasabato mungu atamsaidia Mzee wako kupitia kwa Mchungaji Huyo hii nikwaimani.
  13. J

    JamiiForums Tanzania TLS ni mali ya umma, sheria ya TLS imetungwa na Bunge

    Huyo kambole atakuwa Na mhemuko wa kisiasa TLS nimali ya Uma Uma niwatanzania, syo chama chasiasa, unajua wanataka kuifanya TLS kuwa mari ya chama cha siasa
Back
Top Bottom