Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

Hawa jamhuri ckuhizi hawana wakuwapa siri za serikari ndomaana cku hz wanaokoteza habari, Ss akinyang'anywa ulinzi itatusaidia???? Leten habari mhim.
Hakuna adui mkubwa wa Tanzania kama mwananchi mbumbumbu. Hata kama hujui serikali inaendeshwaje, huwezi kujihangaisha kufahamu kuwa ulinzi sio tu usiostahili bali pia mkubwa kupindukia, unakugharimu wewe mlalahoi?
 
watanzania bana wanajadili ulinzi wa makonda!
kama mbowe tu ana mlinzi iweje mwenyekiti wa ulinzi na usalama akose?
ulinzi unakuwepo kulingana na myakati na mazingira,jaribuni kuhatarisha usalama wake muone kama ana ulinzi au hana
 
Shut up! Kwani Makonda ana tofauti gani na Mtaka au Makalla mpaka yeye apewe wa ziada? Au mnaogopa asibakwe?
 
Back
Top Bottom