Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

Habari kama hizi hazina tija kwa taifa, chapa kazi kijana
hata siku moja jiwe haliaminiki ,ila kikubwa watambue kila kitu kina mwisho na mwisho wa siku hakuna kitu kizuri kama kutenda haki ili unaporudi uraiani wewe na familia yako muishi kwa amani na majirani na raia.
 
What a perfect explanation. In addition i beleive the system will fall because the people who operate it (Politician especialy ccm) and the head(president) turn blind eye to reality that the daily checks are needed to keep system working all the time(correcting their mistakes).

It just a matter of time before an important components of the system will wear out and crack, thats the fall of ccm will begin.
Mkuu ungeandika Kiswahili tu hapa maana badala ya kuprove kwamba kweli wewe ni mtaalamu wa hii lugha, unaonesha kinyume chake.
 
Hawa jamhuri ckuhizi hawana wakuwapa siri za serikari ndomaana cku hz wanaokoteza habari, Ss akinyang'anywa ulinzi itatusaidia???? Leten habari mhim.
 
It's the second law of thermodynamics at work. In a closed system, entropy tends to increase with time.
Fafanua basi mzee baba ...unatutesa sisi wazee wa Zinjanthropus na Dr Leakey. Hata corridors za laboratory tulikuwa hatukatishi ....
 
Kwa sababu ya ile bihashara pendwa ya watoto wa mjini. Bihashara za Cocaine, ambazo zilifanya jiji LA DSM lichangamke sana
usidanganywe kazi zinapigwa..unakumbuka raisi aliongelea watu wanatumia simu gerezani na wanapiga mpaka nje ya nchi...wamebadirisha goli tu
 
Fafanua basi mzee baba ...unatutesa sisi wazee wa Zinjanthropus na Dr Leakey. Hata corridors za laboratory tulikuwa hatukatishi ....
Nishaulizwa na kufafanua katika post # 64 hapo juu.

Samahani kwa mateso, ila wanasema hata Yesu aliteswa ili wenye dhambi wapate wokovu, kwa hiyo labda mateso ni muhimu katika kuleta wokovu hahahaha.
 
Back
Top Bottom