Recent content by Jini Mapembe

  1. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la kunuka vikwapa na kinywa dawa hii hapa

    Gusa unase hapo...
  2. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la kunuka vikwapa na kinywa dawa hii hapa

    Hey....
  3. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la kunuka vikwapa na kinywa dawa hii hapa

    Kama kimeruhusiwa basi maana yake kimefanyiwa utafiti wa kutosha na wa kuridhisha kuwa hakina madhara kama kikitumiwa kwa kufuata maelekezo. Tokea nipo mdogo umri wa Kisura natumia mouthwash na haijanidhuru chochote na kila nikienda kwa dentist naambiwa meno yangu na fizi ziko imara na...
  4. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la kunuka vikwapa na kinywa dawa hii hapa

    Hazina madhara yoyote yale na huko zinakotengenezwa FDA imeziruhusu kwa matumizi salama ya binadamu. Mlipotoshwa! Aka Ngabu.
  5. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la kunuka vikwapa na kinywa dawa hii hapa

    Acha upotoshaji bana! Mouthwash hazina madhara yoyote na zinapaswa kutumiwa baada ya kupiga mswaki na kukwangua ulimi.
  6. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hatukamati waliovaa vimini na kunyoa viduku, Mwandishi wa NIPASHE anatafuta umaarufu

    Nimeusikiliza ufafanuzi wa kamanda Mambosasa. Mimi naona kaeleweka kabisa. Sielewi kwa nini mwanzoni hakueleweka. Polisi hawajapiga marufuku hayo mavazi. Na hawawezi kupiga marufuku kitu ambacho hakivunji sheria za nchi.
  7. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hatukamati waliovaa vimini na kunyoa viduku, Mwandishi wa NIPASHE anatafuta umaarufu

    Kwani walisemaje hasa? Walikataza kweli au walikuwa wanatolea tu mfano labda halafu wakachukuliwa out of context?
  8. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA yatoa karipio kali kwa viongozi wake waliomsema Lowassa hadharani

    Kwa hiyo hapo wanaosemwa ni Mbowe, Lissu, na Lema?
  9. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

    Mumeo naye ana ki kokobanga..?
  10. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

    Le Dinazarde Shahazarde
  11. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

    Le Kokobanga na Kokobanga.
  12. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Mtaa wa Almasi, Mbezi beach.
  13. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Mafua, homa, na jakamoyo.

    Mchumbururu ni samaki. Kafanana na chuchunge.
  14. Jini Mapembe

    JamiiForums Tanzania Mafua, homa, na jakamoyo.

    Ushawahi kumla mchumbururu?
Back
Top Bottom