KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,933
hahaa nilikuwa cjaiona duuh
Huyo ndio jini mapembe mkuu.
hahaa nilikuwa cjaiona duuh
Hata mi naipenda sana.
Avatar yenyewe vipi, hujaipenda?
hahaaaa ndiye huyu
aiseee ..kuanzia leo namimi niatatoa ushuhuda kuwa nimemuona jini ..Jf sio site yakitoto mpka majini yapoHuyo ndio jini mapembe mkuu.
Aya ya mwisho sijaielewa kabisa na nahisi ndipo lilipo jibu lako.
Jina tu la ulichokitaja sijakifaham mkuuUshawahi kumla mchumbururu?
Jina tu la ulichokitaja sijakifaham mkuu
(Mchumbururu)
Nilifikiri sijaelewa peke yangu kwa sababu nilipata `F` ya kiswahili O`level.Ndio umetuandikia kisukuma kilichotafsiriwa!!![]()
![]()
Nilifikiri sijaelewa peke yangu kwa sababu nilipata `F` ya kiswahili O`level.