Recent content by jingoloji

  1. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Wale funza wa miguu waliishia wapi?

    Mabadiliko mengi yameanzia kwa mzee Ruksa msijisahaulishe.
  2. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Wale funza wa miguu waliishia wapi?

    Kulikua hakuna UTI
  3. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Wale funza wa miguu waliishia wapi?

    Mabasi yameandikwa kabisa "USITEME MATE NDANI"
  4. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Wale funza wa miguu waliishia wapi?

    Kati ya viumbe walio hatarini kutoweka wanahitaji kulindwa kwa sasa
  5. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Daah! Kila tunachoanzisha kiuchumi kitukomboe tunaambiwa tusikitegemee, nimejenga kiapatimenti nile kodi naambiwa nisikitegemee, nimefungua kiduka cha mangi naambiwa hela ya dukani hailiwi, nimenunua kibajaji nimemkabidhi mtu nipate kujikimu naambiwa hela ile hailiwi sasa tufanyeje waungwana...
  6. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Tangu mvua ianze sijasikia "kataa ndoa" wala "fear women" humu ndani.

    Tatizo lenu badala ya kuwaza mvua hizi nipande nn shambani mnawaza nikampande nani?.
  7. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

    "Mgeni siku ya kwanza mpe wali na samli mtilie kifuuni mkaribishe mgeni" YUSUFU HALIMOJA.
  8. jingoloji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

    Duuh!! Hii nouma sana hawa wadogo zake watakua warangi probably.
  9. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Siyo vibaya kumsifu Mtawala ila kiwango cha kusifia kikipitiliza si vizuri

    Nani asiyependa sifa, Mungu na wasaidizi wake wote wanapenda sifa itakua yy!!
  10. jingoloji

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe yatinga Semi Final. Yaichapa Petro Athletico. FT 1-2

    Namuonea huruma yule kipa alijifanya Bartez
  11. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kutapeliwa Mawakala kuweni makini

    Kuna mama mlinzi pale kwenye ATM namwachia ten kila ninapoenda kufanya muamala pale kumbe naye anatakiwa astuke!!
  12. jingoloji

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kutapeliwa Mawakala kuweni makini

    Natamani na mkeo awe anawaambia wenzake uboya wako kwenye stor zake anakuita 'mfuniko'
  13. jingoloji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupunguza bajeti kwenye ngono

    Vituo vya radio vyote visivyo serious unaona vinavyopata wasikilizaji! Watu wanataka mambo ya mzaha kwa wingi, magazeti yanasomwa kwa mbwebwe hadi waziri amekubali.
  14. jingoloji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

    Mimi ni kutamani tu kunanitesa
Back
Top Bottom