Jinsi ya kupunguza bajeti kwenye ngono

Jinsi ya kupunguza bajeti kwenye ngono

Mzee fikiri mambo ya msingi kadri uwezavyo ila hauta kuja kufanya nayo kitu chochote.

Ulimwengu kwa sasa unatawaliwa na ujinga ujinga kuwa mjinga mjinga kwanza ndio akili zifate.

Wanao umia huu ulimwengu ni watu wanao jifanya wanatumia akili ambacho hicho kitendo nimekitumikia bila mafanikio yoyote zaidi ya kuwa na hasira tu juu ya upuuzi wa watu.

Halafu dunia ya sasa ukiwa serious unaonekana kituko tu
Vituo vya radio vyote visivyo serious unaona vinavyopata wasikilizaji! Watu wanataka mambo ya mzaha kwa wingi, magazeti yanasomwa kwa mbwebwe hadi waziri amekubali.
 
Muache aendelee kuwa serious
 
Hii ni mahususi kwa wanaume tulio oa .....siku zote nipende kusema ngono ni starehe tu kama starehe nyingine.

Kwa sisi ambao starehe yetu kubwa ni vidudu vya akina dada basi tumejikuta hii starehe usipo kua mjanja na akili nyingi hivyo itakudharirisha,itakulia muda wako, itakulia pesa zako au kukufirisi kabisa.

Hivyo basi kama ni mpenzi wa hii starehe inatakiwa uwe mjanja wa kucheza na hii starehe ili uweze kuifaidi.

Ni hivi kwenye kupunguza gharama za uchakataji inatakiwa utafute wazinzi wenzio watatu mnao Ivana.

Hivyo mnachanga bajeti na kutafuta chumba mnapanga, chumba kizuri kisiwe na mwenye nyumba hapohapo.

Hivyo mnalipia kodi na kununua vitu vya ndani kulingana na nyie na vipendo vyenu baada ya hapo mnagawana funguo.

Mnakuja kutengeneza group la wasp kwa ajiri ya taarifa kama upo site unatuma taarifa kuwa leo nipo na mtoto kutoka muda huu hadi huu.

Msisahau kila mtu anakua na mashuka yake.

Faida ya hii ni pale kama ulitumia elfu 20..40 za loji kwa tendo moja kama kwa wiki unachakata mara mbili hivyo ni elfu 80 kwa wiki.

Na kwa mwezi ni laki tatu na ishirini kama unaenda Loji za 20 kwa mwezi ni elfu 80 bado hela za misosi na nauli ya mtoto.

Kama chumba mtakua mmelipa miezi mitatu hivyo gharama za loji za miezi mitatu utakua umesevu na itakua imekurahisishia sana .

Hasara za hii project ni kuwakosesha mapato walio jenga loji

Faida utakua umesevu hela nyingi sana na utakua na privacy ya kutosha.

Nawatakia uchakataji mwema
Mchora ramani ni mbobevu.
 
Expensive sin, utaokoa hela ya gest ila hutaokoa ya
1. Nauli
2. Chips kuku
3. Bundle
4. Mda
5. Matibabu ya stds
6. Kukosa focus na kuishi kama teja la ufuska
7. Kulea wanaharamu

Zini at your own risk
Asante studio
 
Mawazo ya vijana wa saa100

Ndio maana bongo nyepesi sana kuitawala

Ukileta hoja ya uchumi hapa hakuna wachangiaji ila hii thread itajaa!!
Na kuthibisha kuwa wewe ni Moja wa hao vijana uko kwenye too 4 ya waliowahi kufika kwenye hii thread [emoji23][emoji23]
 
Hii ni mahususi kwa wanaume tulio oa .....siku zote nipende kusema ngono ni starehe tu kama starehe nyingine.

Kwa sisi ambao starehe yetu kubwa ni vidudu vya akina dada basi tumejikuta hii starehe usipo kua mjanja na akili nyingi hivyo itakudharirisha,itakulia muda wako, itakulia pesa zako au kukufirisi kabisa.

Hivyo basi kama ni mpenzi wa hii starehe inatakiwa uwe mjanja wa kucheza na hii starehe ili uweze kuifaidi.

Ni hivi kwenye kupunguza gharama za uchakataji inatakiwa utafute wazinzi wenzio watatu mnao Ivana.

Hivyo mnachanga bajeti na kutafuta chumba mnapanga, chumba kizuri kisiwe na mwenye nyumba hapohapo.

Hivyo mnalipia kodi na kununua vitu vya ndani kulingana na nyie na vipendo vyenu baada ya hapo mnagawana funguo.

Mnakuja kutengeneza group la wasp kwa ajiri ya taarifa kama upo site unatuma taarifa kuwa leo nipo na mtoto kutoka muda huu hadi huu.

Msisahau kila mtu anakua na mashuka yake.

Faida ya hii ni pale kama ulitumia elfu 20..40 za loji kwa tendo moja kama kwa wiki unachakata mara mbili hivyo ni elfu 80 kwa wiki.

Na kwa mwezi ni laki tatu na ishirini kama unaenda Loji za 20 kwa mwezi ni elfu 80 bado hela za misosi na nauli ya mtoto.

Kama chumba mtakua mmelipa miezi mitatu hivyo gharama za loji za miezi mitatu utakua umesevu na itakua imekurahisishia sana .

Hasara za hii project ni kuwakosesha mapato walio jenga loji

Faida utakua umesevu hela nyingi sana na utakua na privacy ya kutosha.

Nawatakia uchakataji mwema
Yanini tabu yote hiyo? Wanawake wote wanaolika kiurahisi bila kutaka pesa zako wana nyumba zao na wana uwezo wa kuchukua gesti wao wenyewe.

Ukikua utanielewa. Au ukitaka kujua wapi utawapata sema tukupe mbinu.
 
Mwaga mbinu vijana wasave vibunda maana wameelemewa na kausha damu
 
Majirani hawashindwi kuchomesha ukashangaa uko kwenye mkutano wa waandishi wa habari na police
 
Kuna jamaa yangu kapanga_ki apartment somewhere,,, ! Ana geti lake ,,,,ana gari Kwa hio akiingia na mtoto ama kutoka hamna anemtambua !!!!

Mind that ana familia yake, hio apartment ni kwaajili ya kuchakata tu ,,, mda mwingine anakuja na jamaa zake wanafanya house party ,,,

Anabadili watoto kama vile nguo ,,, !

Tuache ngono ,,,,
 
Mimi tactic yangu ya kivita,single mother Nikimla mara Moja nakua mpaka akinihitaji yeye na siweki Kambi,watoto wa2000 wengi sana akizingua yule napanda nayule.

La mhimu mke namtunza haswaa na familia ndio Kila kitu kwangu Hawa wengine wazamini wa kipindi tu.

Hua nakua na wivu Sanaa kwa mke wangu nikiishi bila michepuko,hii husabanisha ugonvi mwingi. Michepuko hupunguza wivu kwa mke maana ukiwaza umekula njee hata kama hajui unakua Mpole sana nyumbanii tena unaonesha kumjali mama watoto haswa.
 
Back
Top Bottom