jingoloji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 449
- 546
Kuna mama mlinzi pale kwenye ATM namwachia ten kila ninapoenda kufanya muamala pale kumbe naye anatakiwa astuke!!Kwahiyo mkeo akawa anachekelea tu ya soda,na wewe ukaambiwa bado ukakenua meno?