Katika watangazaji makini sana na wanajua wanachokifanya ni Marin Hassan,Pale ni ofisini kwake lazima ajiachie hata ww ukiwa ofisini kwako halafu unakuwa unakaa huna comfidence ofisini kwako huna maana na waliokuamini
Tutengeneze Katiba ya Tanganyika kwanza ndio tutengeneze katiba ya shirikisho.... ili watanganyika tuulizwe tunataka shirikisho au la... coz zanzibar wao wanayo katiba yao..Tusibuluzwe Watanganyika...
Wakinga wamewahamisha wenyeji kariakoo wenyeji mmepelekwa vichochoron....Wazanzibar uelewa wao hata siuelewi na sasa tunatengana nao ndio watajua muungano ulikuwa unawasaidia au la....
Serikali tatu ni mzigo kwa watanganyika ..wazanzibar hawana kitu zaid ya harua na tende...Tufanye maamuzi magumu Tuachane nao kwanza wanatunyonya sana serikali yao wanaendeshea fedha za watanganyika
Kama serikali tatu bora kila mmoja aanze maisha mapya...Watanganyika wana uelewa mkubwa na wameenda shule rasilimali tulizonazo ziwanifaishe watanganyika
Serikali tatu itakuwa ni mzigo kwa Watanganyika...Zanzibar hawana uwezo wa kuchangia kwenye shirikisho...Bora kila mmoja aanze maisha yake tusiwatwishe Watanganyika mzigo fedha hizo ziende kwenye afya ...Elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.