Nyerere kaanzisha harakati za kupinga ubaguzi afrika kusini. -
Sishangai, maana hata kiswahili kakianzisha nyerere.
Lakini umesahau kusema kwamba aliwahi kuishi mafichoni Dar akikimbia kutahiriwa. Mpaka wenyeji wake wakaamua kumuacha aishi na ngozi yake ya mbele aliyozaliwa nayo.
Duh!!! kazi kwelikweli. Sijui kama tatizo ni umri wako mdogo au ni ka-ubongo kako kadogo kanakokusumbua. Anyway, shule ndogo hapa chini inaweza kukusaidia.
Neno shenzi ni neno la kiswahili ambalo asili yake ni kijerumani, neno la kijerumani ni "Scheiße". Hiyo herufi "ß" kwa kijerumani ni...
Kumtazama nyerere kwa jicho la tatu ndiyo kwanza unaanza leo? "welcome to the reality son". Watu wakisema kwamba nyerere ni muongo, dictator, mwoga wa mapambano ya kimawazo;.... wathao mnawaita siasa kali.
Haya haya yaliyosemwa na tundu lisu kama yangesemwa na sheikh ponda au ustaadh bin jumaa...
Tumekuwa tukisema kwa miaka mingi sana kwamba nyerere alikuwa bumunda tuu, tunaitwa waislamu. Miaka kadhaa iliyopita miongoni mwa waja wa nyerere wa hapa JF, mmoja wao alisema nyerere ni zaidi ya mandela. Nikamjibu kwa kumwambia kwamba tofauti ya nyerere na mandela ni kwamba, Mandela angezaliwa...
Nyerere ana kashfa nyingi sana. Lakini huwezi kutaja upuuzi wa nyerere bila ya kuambiwa "mdini". Lakini kama inavyosemwa, uongo hupanda kwa lift na ukweli hupanda kwa ngazi. Kuna siku mtakubali tuu kama baba wenu wa taifa alikuwa mbulumundu mmoja tuu.
The irony is, you remembered The Kenyan Kenyattas and the Korean Kim ****ung; but you couldn't remember the American Bush father and Bush son. What a selective memory
Wazanzibari ni wenyeji hapa Dar-es-salaam kuliko nyinyi mliotoka sengerema, tukuyu na dongobeshi huko. Tuachieni ndugu zetu wazanzibar, na undugu wetu na wazenji haukuletwa na muungano, na utaendelea kuwepo hata baada ya Muungano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.