Kwanini Nyerere hakujiita Mheshimiwa?

Kwanini Nyerere hakujiita Mheshimiwa?

well said.
Hizi hoja zenu nyingine hazina mashiko kabisa, sasa Nyerere kujiita au kutojiita Mheshimiwa inamsadia vipi mwananchi masikini wa Tanzania au kutojiita kwake Mheshimiwa kulisaidia vipi kukuza uchumi na kuleta maendeleo Tanzania?
 
Nyerere hakutaka aitwe rais
Alisema niiteni mwalimu
Huyu mzee hatokei tena saizi yake

Kuna baadhi wachache wapo wenye tabia kama zake ila chances kwamba wanaweza waka-3excel na kupata post ya uraisi ndiyo haijulikani!
 
Dogo bora uondoe hii thread, enzi hizo alikuwa akiitwa mtukufu rais waliokuja mbeleni ndio walikataa utukufu manake ni zaidi ya binadamu
Sahihi kabisa walikua wanajiona miungu watu mpaka kufikia hatua ya kujiita watukufu aliyegoma kuitwa mtukufu ni Mkapa na Kikwete tu Nyerere na mwenzie Mwinyi walijiita watukufu
 
Kutoka NDUGU hadi MHESHIMIWA kila kitu kimebadikika..cheo na uongozi sio dhamana bali ni haki ipatikanayo kwa kununua.
 
kila kiongozi wa sasa hata tu diwani anataka umwite mheshimiwa unapoanza kutaja jina lake....kwa nini hayati nyerere hakutaka aitwe hvyo?
Nyerere, alikuwa mpaka anaitwa Dr.
 
ccm wamekodisha akili, hadi zirudi za kwao ndo labda watatafakari
 
mwanzoni alikua akiitwa mtukufu raisi au pia mheshimiwa raisi baadae nadhani baada ya azmio la arusha 1967 akatoa amri viongozi wote waitwe ndugu.
 
hoja zako fupi fupi kama kibamia chako.mwanahizaya we usiye na haya
 
Hakuwa na uroho wa kuwa mtukufu kwa watu Bali ni utendaji mzuri wa majukumu alonayo...na ndo maana alikuwa anafanya kazi kma akikuta watu alowatembelea wanafanya kazi...ila hawa wa sasa matatizo matupu
 
View attachment 154876
Hatopata kutokea tena kama huyu!

Alijitahidi kujenga nchi; waheshimiwa wanajitahidi kuipora nchi!
Kila nafsi inamapungufu yake lakini huyu alikuwa mwalimu na kiongozi mwenye maono ya mbali.
Waheshimiwa wetu wa leo wanawaza sifa, ufahari, utajiri wa chap chap (kwa gharama yoyote) na matumbo yao!
 
hakutaka kwa sababu alishajiona si msafi na alishajitabiria makazi yake ya milele kablla hajafa(hell)
shortly nyerere hakuwa mheshimiwa bali alikuwa dictator
Najua unamwita dictator kwa asili yako na jinsi ulivyo lakin by nature nyinyi ni watu wa kulalamika tu hata uwe umesoma vipi likini unachoambiwa ndo una kariri maisha..


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kwa nyerere uheshimiwa ulikuwa ni kuchapa kaz kwa kwenda mbele ..kiongozi akiwa ndiye mfano wa ufanyaji kazi
 
nyrere mwizi wa fadhila ndiye alieiletea laana nchi hii mpaka ikawa haitawaliki kaja dar na kikaptula akapewa wadhifa na wazee wa dar es salaam kina dos aziz mzee takadir jumbe na wenziwe hatimae akwasaliti na hakuishia hapo bali aliwataifishia mali zao akazifanya za serikali eti wafe maskini hatimae yeye mungu ndo akampa ugonjwa wa xxxxxxxxxxx tukaambiwa eti ni cancer ya damu no ilikuwa ni xxxxxxx (adhabu kutoka kwa mungu)mungu amzidishie adhabu za kaburi
inshort hakuna mtu asiyejua maovu ya huyu jamaa hasa dhidi ya watu wa dini fulani mpaka ikafikia kpnd akasema angekuwa na uwezo angewatupa bara la mbali coz amechoshwa nae,huyu hyu ni sababuya damu innocent ya mamia ya wazanzibari kumwagika kwa fitna zake na mapinduzi ilikuwa ni njama tu ya kutaka kuikoloni znz ,katufitinisha miaka tunapigana mpk 2010
hatumsamehe

Wewe ndo ----- wa mwisho dunia hii,asa hao unaowataja aliwakuta ndo walikuwa wamiliki wa hii nchi ama,hauna jipya.
 
Kama wanaotaka kuitwa waheshimiwa wanafanya hivyo ili waheshimike na kuogopwa basi Nyerere alikuwa mnafiki namba moja!

Kale kajamaa kalijiwekea mazingira ya kuogopwa na ya kutisha kuliko hao wanaotaka kuitwa waheshimiwa. Watu walikuwa wakitetemeka kusikia tu jina lake, na simaanishi watu wenye udhaifu ama waovu kama mafisadi tu, bali hata mkulima maskini kijijini asiye na hatia alimwogopa Julius kama Mungu! Waulizeni watu waliofanya kazi naye.

Acheni kukasifia kanafiki kakubwa kale (ila pamoja na haya, RIP Nyerere, na hatumsemi kwa kwa kumhukumu bali kumkosoa)
 
hoja zako fupi fupi kama kibamia chako.mwanahizaya we usiye na haya

sasa hcho kibamia changu kinakuhusu nini?au ndo msumari tena?nadhani una lako jambo
mada mezani ni nyerere sio kibamia changu km unahamu na kibamia tafta mwengne mm ww sikutaki ni changudoa unapenda kinyume na maumbile
 
nyrere mwizi wa fadhila ndiye alieiletea laana nchi hii mpaka ikawa haitawaliki kaja dar na kikaptula akapewa wadhifa na wazee wa dar es salaam kina dos aziz mzee takadir jumbe na wenziwe hatimae akwasaliti na hakuishia hapo bali aliwataifishia mali zao akazifanya za serikali eti wafe maskini hatimae yeye mungu ndo akampa ugonjwa wa xxxxxxxxxxx tukaambiwa eti ni cancer ya damu no ilikuwa ni xxxxxxx (adhabu kutoka kwa mungu)mungu amzidishie adhabu za kaburi
inshort hakuna mtu asiyejua maovu ya huyu jamaa hasa dhidi ya watu wa dini fulani mpaka ikafikia kpnd akasema angekuwa na uwezo angewatupa bara la mbali coz amechoshwa nae,huyu hyu ni sababuya damu innocent ya mamia ya wazanzibari kumwagika kwa fitna zake na mapinduzi ilikuwa ni njama tu ya kutaka kuikoloni znz ,katufitinisha miaka tunapigana mpk 2010
hatumsamehe

Kama ni kweli alidhulumu Mali za watu then ni mdhulumat, hii ni laana.
 
Back
Top Bottom