Recent content by Jimmy Mjanja

  1. J

    Zijue Sifa na Majukumu ya Mkuu wa Mkoa kisheria hapa Tanzania

    huo mshahara ndo shingap et????????????
  2. J

    Serikali yawarejesha kazini watumishi 1,370 walioondolewa kwenye ajira kwa kukosa sifa ya elimu ya kidato cha nne

    kumbe msukuma ni very powerful, duuuuh nashukuru maana sisi wa darasa la saba ni shida tumeanza kuonekana nchi siyo yetu wakat tumeitoa mbali sanaa
  3. J

    Watumishi wa Serikali na siasa za mishahara

    ovyoooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! una akili ndogo mno kubishana na mimi
  4. J

    Ajali Igunga, Tabora: Basi la City Boy limegongana na Fuso. Watu 12 wafariki dunia na 46 kujeruhiwa

    dduuuh Mungu wangu......it pain a lot. Mungu utusamehe na uwapumzishe pema marehemu wote, shusha nguvu ya uponyaji kwa walioumia.
  5. J

    Trade War: Baada ya China kujibu mapigo,Marekani yarusha kombora lingine

    hahahahahaha economic war bwana.....ni tamu sanaaa. sisi walalahoi tunaweza kufaidika kupitia vita hii
  6. J

    Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

    hahahahaha................ Kitila amenifurahisha sanaa, anatapatapa tuuu. si bora angebaki kimyaa maana hata point haipo hapo afu ni anasema kama nani au kujikomba tuuu
  7. J

    Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

    nishajua, kumbe ndomaana bado hujaolewa na wanakukimbia
  8. J

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    kweli inawezekana umekatwa shingo, maana ni kama vile hamna mawasiliano
  9. J

    Watumishi wa umma wanapitia mazingira magumu sana

    kweli ndugu hakika kila mtumishi anahasira na serikali hii, hata ukiona mtu anafurahia serikali hii basi atakuwa na ujinga wa kiwango cha phd
  10. J

    Mchezo wa draft na sheria zake

    haiwezekan ukaingia king bila kulana kete
  11. J

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    hakika nipo bize namuombea Tundu Lissu, nikimaliza maombi haya mwakani mtaniambia vzuri stor yake then ntajitafakari nimuombee au laa
Back
Top Bottom