Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

Serikali ya Chama Cha Mapinduzi inayoongozwa na Mh.Dr John Pombe Magufuli imetoa jumla ya Shillingi Billion 43 kwa ajili ya kulipa madai ya watumishi wa serikali wapatao 27,389 baada ya kukamilika kwa zoezi la uhakiki awamu ya kwanza.

Sera ya CCM ni kushughulika na shida za watu na kwa kupitia hatua hii ya Serikali yake kulipa madai haya yaliyokua shida na kero za watu hususani watumishi imedhihirisha jinsi CCM inavyotembea kwenye sera zake kwa vitendo bayana.
Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichoilekeza Serikali kulipa madai hayo ya watumishi kupitia Ilani yake ya uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015-2020.

Madai hayo ya watumishi yalikua ni kero ya muda mrefu lakini baya zaidi watumishi ndani ya Serikali wasiokua waaminifu walikua wanatumia mwanya huo kuweka madai hewa na ndio maana Serikali ya awamu ya 5 ikasitisha ulipwaji wa madai hayo mpaka pale uhakiki utakapofanyika kwanza

Hii ndio faida ya uhakiki kwa sababu kama usingefanyika basi pesa hizo zingeweza kwenda katika matumbo ya watu wachache huku wakiacha sekta za huduma za kijamii zikizorota.

Lakini kupitia uhakiki huu madai hewa yameondolewa na zile fedha ambazo zimeokolewa basi zitaenda kwenye mfuko wa mpango wa elimu bure, kununua madawa hosptalini, kujenga vituo vya afya na zahanati, kulipia bima za afya kwa wazee, kuboresha miundombinu nakadhalika.

Hii ndio CCM Mpya iliyodhamiria kuondosha kero na shida za watanzania kwa kuielekeza Serikali kushughulika na shida za watu kwa vitendo.

Wasalaam ,
Augustino Chiwinga.
 
Tuna rais wa kweli kipindi hiki, thank you Mr president Dr. JOHN. P MAGUFURI
 
Nahisi wewe hukuzaliwa bali ulijambwa tu hii imethibitishwa na akili zako zilizojaa mavi
 
Majina mengi ya wanaodai hayapo!
Madai mengi halali hayajaandaliwa malipo.
Zisitafutwe sifa za magazetini kuwafurahisha wasio husika.Kuweni makini walipa madeni
 
Ikiwa hivyo ndivyo basi iko haja ya kupongeza maana hari ilikua ngumu mno ilifikia hatua baadhi yetu tulikosa kuiamini serikali kabisa kwa kuhofia kutolipya
 
Serikali ya Chama Cha Mapinduzi inayoongozwa na Mh.Dr John Pombe Magufuli imetoa jumla ya Shillingi Billion 43 kwa ajili ya kulipa madai ya watumishi wa serikali wapatao 27,389 baada ya kukamilika kwa zoezi la uhakiki awamu ya kwanza.

Sera ya CCM ni kushughulika na shida za watu na kwa kupitia hatua hii ya Serikali yake kulipa madai haya yaliyokua shida na kero za watu hususani watumishi imedhihirisha jinsi CCM inavyotembea kwenye sera zake kwa vitendo bayana.
Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichoilekeza Serikali kulipa madai hayo ya watumishi kupitia Ilani yake ya uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015-2020.

Madai hayo ya watumishi yalikua ni kero ya muda mrefu lakini baya zaidi watumishi ndani ya Serikali wasiokua waaminifu walikua wanatumia mwanya huo kuweka madai hewa na ndio maana Serikali ya awamu ya 5 ikasitisha ulipwaji wa madai hayo mpaka pale uhakiki utakapofanyika kwanza

Hii ndio faida ya uhakiki kwa sababu kama usingefanyika basi pesa hizo zingeweza kwenda katika matumbo ya watu wachache huku wakiacha sekta za huduma za kijamii zikizorota.

Lakini kupitia uhakiki huu madai hewa yameondolewa na zile fedha ambazo zimeokolewa basi zitaenda kwenye mfuko wa mpango wa elimu bure, kununua madawa hosptalini, kujenga vituo vya afya na zahanati, kulipia bima za afya kwa wazee, kuboresha miundombinu nakadhalika.

Hii ndio CCM Mpya iliyodhamiria kuondosha kero na shida za watanzania kwa kuielekeza Serikali kushughulika na shida za watu kwa vitendo.

Wasalaam ,
Augustino Chiwinga.
Nadai zaidi ya milioni,sijaona jina langu.Msitafute kick nyepesi,watoto wenu wale,wa wenzenu wanataabika!
 
Back
Top Bottom