Bila
hata hiyo amri kutolewa kwa Arusha ikiishafika kuanzia saa tatu, unaweza kujikuta uko mwenyewe barabarani,watu waliishazoea hivyo kutokana na matukio ya kiujambazi kwa mji huo, kwa wanaoish Arusha wanalijua hilo.....sio kila kitu serikali serikali
mawazo yako ni nn labda au unataka kutuaminisha nini...kwamba mbowe na genge lake wakiingia watakua watakatifu...haya mambo hayoto tokea au maana yako ni nn?
Kuna watu wanatamani hii nchi iingie kwenye machafuko sijui hawaangaliagi taarifa ya habari na kusoma magazet yanayotokea huko siria na kuingineko....tusifate mkumbo wa wachache wenye viza zao mkononi wakati wewe hata pasipot huna,hongera kwa vyama vilivyoona umuhimu wa kulinda amani ya hii...
Michepuko mitamu lakini inaletaga umasikini jihadhari na hilo.....na ujue pia yupo mwingine pia anaepiga kisela kama wewe unavyopiga kisela....so jihadhari na magonjwa pia,kupima peke yake haitoshi.....kila la kheri
Wewe mwenyewe umeandika kisiasa zaidi badala ya fact zaid....pole kwakujifanya sheikh Yahaya, tutabilie na maisha yako baada ya miaka mitano yatakuaje na utakua wapi ukifanya nini.........
Wewe mwenyewe pamoja nakwamba unampango wakumuoa huyo binti nina uhakika huwez kuwa huna msichana mwingine pembeni, tofauti yenu wewe na huyo binti ni kwamba wewe umegundua mahusiano yake mengine ila yeye hajayagundua mahusiano yako wewe mengine, ushaur wangu kaeni chini muongee ikibid...
Natamani sana nipate mwanamke mwenye sifa kama hiyo,huyo ni mkeo tena mko wawili ndani unataka ajishindilie manguo kama anaenda sokoni........mwache ajiachie
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja, Magufuli hakukataza hiyo mikutano ya kisiasa ila alicho kataza ni mikutano ya siasa yenye lengo ya kumkwamisha katika kazi zake ambayo ni mikutano yenye lengo la kuchochea chuki kwa serikali na kuleta vurugu kwa wananchi, kwa mfano kabla hata ccm hawajaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.