Recent content by Jimmy GP

  1. Jimmy GP

    Mpenzi wangu anataka ajiunge JF, kapenda jukwaa la MMU

    Kuna ubaya gani kumuunga? Afu unasemaje sio dhambi hv wewe si shetani kweli huenda tunachat na mashetani humu ndani
  2. Jimmy GP

    Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

    Ok but yataka moyo
  3. Jimmy GP

    Kwanini mwanamke akikuhudumia atakusimanga sana?

    Wanapokuwa na hiyo hali kunakuwa na mawili aidha anampango wa kukuchuna tu na kusepa kwamba hana malengo yoyote na wewe na pia huenda anamawazo kwamba yeye n wa kupewa tu hanatabia ya kutoa fadhila so kama unampango wa kumuoa basi kaa naye vzr maana atakusumbua hawa viumbe wanamatatizo sana
  4. Jimmy GP

    Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

    Wanawake wengine wanajifanya mimba inawachanganya ila kumbe n ili akutese tu aaaah
  5. Jimmy GP

    Mpenzi wa zamani hapaswi kuwa adui

    Eti mwingine anasema mwanaume mwenyewe hujui mapenzi wakati mnarudiana anakuambia ooooh baby umejifunzia wapi
  6. Jimmy GP

    Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

    Kaka yaani nataka kuanzia sasa hv nikae naye kama boya tu nione akipanda kichwani poa akiniita mjinga sawa
  7. Jimmy GP

    Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

    Dah unaniondolea hasira sana mkuu nashukuru aisee dah ehuuuuuuu
  8. Jimmy GP

    Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

    Dah thanks But kinachoniboa ni kudeka bwana mpaka anaboa sasa hapo inakuwaje
  9. Jimmy GP

    Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

    Dah miezi nane kaka haya si makusudi kabisa kweli mbona kama anajidekeza tu
  10. Jimmy GP

    Nampenda lakini meseji zake za mkato

    Yaani piga ua garagaza chakaza funika vunjavunja haribu tawanya vuruga nk huyo mwanamke hakufai anamtu wake
  11. Jimmy GP

    Naachana na mke wangu rasmi

    Sasa kama mwanamke mwenyewe kiburi anajiona yeye ndio zaidi analeta maringo unadhani nitakaa naye vzr kweli?????? Hata mm nina moyo wa nyama bwana asiniburuze kama mpumbavu aaah Kama angekuwa mstaarabu angeongea na mshkaji vzr kila siku kununa unataka nn kama sio kuachwa na mbaya zaidi...
  12. Jimmy GP

    Naachana na mke wangu rasmi

    Pole sana ndugu yangu tuko wengi wenye mambo kama hayo mm nakushauri kama vipi mwache tu asikuone boya bwana Mimi nataka kumwacha hata huyu wangu maana naona sasa ananiona mm kiazi Mwanamke anatakiwa kuwa mnyenyekevu msikivu nk kununa kwa mwanamke n kwa sababu gani asikuone mwehu bwana kwani...
  13. Jimmy GP

    Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

    Wanajamii Foram mimi nina mke ni mjamzito wa miezi nane, sasa huyu mwanamke kabla hajawa mjamzito n mvivu sana na anadeka kupitiliza yaani inakuwa kero mpaka nikienda kazini natamani nisirudi home mapema angalau awe amelala nikija na mm ni kulala tu. Sasa hapa home nina mfanyakazi wa kike...
  14. Jimmy GP

    Jamani nisaidie kuna wimbo nautafuta sana

    Nitumie kk
  15. Jimmy GP

    Jamani nisaidie kuna wimbo nautafuta sana

    Nitumie kaka
Back
Top Bottom