Recent content by Jiml

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tunauza bidhaa mbalimbali

    Aise mm ni nahitaji air compressor na freezer
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nini kimemuua CPwaa? Kuna kitu hakijakaa sawa

    Watu tumwamini Yesu, haya maisha ya duniani ni ubatili Chini ya jua, unapata starehe duniani huna mda wa kuokoka, jamani Kuna maisha baada ya haya, jiulize siku ukifa utakuwa mgeni wa nani??? Yesu anabisha mlangoni kwako mfungulie siku ukifa awe mwenyeji wako, moto unatisha jamani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Air compressor ( yakujaza upepo pikipiki)

    Ahsante Sana mkuu ngoja nifanye hivyo!!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Air compressor ( yakujaza upepo pikipiki)

    Habarini wakuu?? Naomba kujua bei ya compressor ya kawaida ya Kujaza upepo ni shilingi ngapi? Dukani?
  5. J

    JamiiForums Tanzania 44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

    Hawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenye ufahamu wa soko la lozera!

    Habari wakuu! Naomba kujua mwenye kujua soko la lozera anijuze
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta freezer used

    Wakuu Habari ya jioni, ninashida na freezer, mwenye anayo anauza anipm tuongee bei!!!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kuandaa michoro ya 3D anahitajika

    Hapatikani kwenye simu mkuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kuandaa michoro ya 3D anahitajika

    Mm naweza nmekupigia simu hupatikani
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kuandaa michoro ya 3D anahitajika

    Na kama mtu yupo mbali anaweza kufanya kazi hiyo?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Syrup Room and Water Treatment Team Leader Job at Coca-Cola Kwanza Ltd

    Hapana labda unazungumzia Pepsi lakini kiwanda cha Coca-Cola mbeya kinaitwa hivyo hivyo! Coca-Cola kwanza limited mbeya
  12. J

    JamiiForums Tanzania Syrup Room and Water Treatment Team Leader Job at Coca-Cola Kwanza Ltd

    Hiki kitengo wafanyakazi kudumu ni bahati Sana, maana kinahitaji umakini wa hali ya juu Sana! Wengi wanafukuzwa kazi kwa uzembe au bahati mbaya tu! One mistake unasababisha hasara ya mamililion ya fedha hivyo kuachwa salama ni vigumu mno!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga hatukuoni jimboni, wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu

    Upinzani walichelewesha maendeleo!! Subiri saivi ni mwendo wa SGR
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kisasa unatakiwa uwe na hivi vitu

    Mbona umesahau biblia!!!! Kwa wa kristo m
Back
Top Bottom