Recent content by JimCarrey

  1. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufuta historia mbaya ya mikopo CRB? Nimewaandikia email hawajibu

    Huko ndo sijawahi kabisaaa na kwanza wale wezi tu TAARIFA zao hazifiki huko
  2. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufuta historia mbaya ya mikopo CRB? Nimewaandikia email hawajibu

    Nilishafanya ivyo kabla ya Kuja hapa kaka lakini sikupokea email yoyote
  3. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufuta historia mbaya ya mikopo CRB? Nimewaandikia email hawajibu

    Guys, Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na...
  4. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
  5. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mfuno wa ESS kwenye simu

    Dah sawa
  6. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mfuno wa ESS kwenye simu

    ....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo MFUMO WA ESS KWA SIMU
  7. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania MFUMO WA ESS KWA SIMU

    FUMO WA ESS KWA SIMU
  8. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu kuhusu haka kadude kakuitwa SUPERVI ATUPE USHUHUDA

    mu
  9. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Kocha Moroko na kingereza😂🤣

    Oya kama unakubali kingereza Cha kocha Moroko weka msemo wake mmoja hapo chini
  10. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Basi itakua matatizo ya kiufundi wamesharudisha
  11. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Basi itakua matatizo ya kiufundi wamesharudiaha
  12. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Wamerudisha bwana 🤣😂
  13. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Wamerudisha bwana 😂🤣
  14. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Jamaa anaringia ligi ya bongo tu ukitoa hiyo ni mavi matupu
  15. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Hapo ndo mateso ya wananchi yanapoanzia , milio itakua mingi sana tunakoelekea
Back
Top Bottom