UTV ya Azam Tv sio free tena

UTV ya Azam Tv sio free tena

Wanaonunua Azam sijui wanaipendea nini. Mimi niliwinda zile channel free za other channel kwa visimbusi vipya wamefunga mpaka ulipie ndio zinafunguka. Wenye maudhuri hayo wafunge channel zao wenzao wanauza huku. Pia wana sehemu za flash haifunguki mpaka ulipie Nina tv ya kizamani haisomi hd wala mp4 format nikanunua likisimbusi lao angalau linipe back u pesa ikiisha liking'amuzi halisomi nikasema waarabu hawa ni washen** kabisa nimekosa mtu ningemuuzia bei ya hasara nikanunu star times angalau kuna ile guide channel inazubasha watoto kidogo kuliko hawa wanyakuzi.
 
Majamaa hata hiyo CHAN kurushwa TBC live inaonesha kumewauma sana

Walikuwa wanapiga mahesabu kupitia CHAN wafidie gape la kutokuwepo kwa NBC na ligi za Ulaya ambazo zimekuwa zikiwafanya watu walipie vifurushi vya premium.
 
Star times bado ITV bila ya kulipia uwezi kuona. TCRA wapo kimya. Tutaendelea kumkumbuka Magu
 
UTV and others FTA tv zilitakiwa kuwa bure na siyo uhuni wa hawa Azam kikiasha tu kifurushi wanazifungia na wameweka code kwenye decoder zao mpya za kuzifunga, decoder za zamani mwendo mdundo hazina hizo code! Tena ukiwapigia kwanini wanafunga wanakuambia hakuna cha bure, sasa decoder mlitugawia kama pipi au tulinunua!

TCRA hawana meno kwa hawa wakubwa, kila mkubwa anapiga usawa wa kamba yake😀
 
Back
Top Bottom