Recent content by jifungo

  1. J

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Ukiona Dada anaitaji vocha anaolitaji nguo nzur Mara mpenz unijar unajua naishije nitoe out twende classic place nipe iPhone 7rafiki zangu wanazo natamani hajawai kushauri no usitumie pesa vibaya tunaitaji tununue kiwaja tufanye biashara """ Broooo hata kama ni mzur kama malaika uyoooo ni mbwa...
  2. J

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Sikia ukisikia wanaume hawaeleweki mwanzo wake in hapo utakuja kukaa umwamini mwanamke yeyote na uwez mpenda yeyeyote Ila kutimiza wajibu pia ivi vitoto vya kike vyote vinavyojiisi nivizur usijiloge kufanya navyo appointment ya tutaona wew ni wangu hakunaga hilo ulikosea ungekila siku ile...
  3. J

    Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

    Wenye utindio wa ubongo kama zitto na wew na mama yako
  4. J

    Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

    Siku zote zitto uwa mwongo na haelewi alisemalo ivyo msameheni haelewi tusonge Mbele Raisi wetu mchapa kazi muache zitto aendelee kuongwa kama mdada was kimboka
  5. J

    Wizara ya mambo ya ndani jitokezeni hadharani kumpongeza RC Makonda

    Wenye vyeti kazi hawawez ambao hawana wanajua kaz wanaozunguka na bahasha makogo mingi kazn wsnaesabu siku ziende mshaara uingie hawez kubuni hata a
  6. J

    Rais Magufuli anaponzwa na hisia zake dhidi ya maskini?

    Usiseme wote masikini sema wew nimasikini achaaaa kauli tata
  7. J

    Rais Magufuli anaponzwa na hisia zake dhidi ya maskini?

    Yah kabisa mkuuu wew una hakili sana lakini Mungu atakuzidishia kwani umepitisha jicho kwenye miba umemuina aliyebeba mzigo nimzito ukaamua kujifananisha ungejuwa wew kwel ukimkaubali mwenzako kwa nafabikio nikwsmba iko siku yako yaja bigup mkuuu
  8. J

    Wizara ya mambo ya ndani jitokezeni hadharani kumpongeza RC Makonda

    Wew ulipata ngapi after low havitusaidii wew uliyefaulu hatuna faida na wew yeye hakufaulu lakini anatusaidia na wew ukiwemo anaubunifu kuliko wew unayetegemea wenzako wabuni wew unufaike yeye ni generous hajasoma lakini mbunifu umesoma ubunifu zero nani bora kati yako na yeye ????
  9. J

    Wizara ya mambo ya ndani jitokezeni hadharani kumpongeza RC Makonda

    Ilo nijambo jema tujifunze kuafanya Yale yanayo liletea taifa maendeleo lakini nawewe unaweza kusimama nakuwasaidia wazee kwenu wanaoteseka vyombo vya habar vinawajibu wakuja kuchukua ufanyavyo ili ufundishi wengine wenye maroho ya mbwa hata kuwasaidia ndg au wazaz wao wanashindwa ungesema kwani...
  10. J

    Rais Magufuli wewe ni David mtoto wa Jesse

    Laana ni wew alichosema kimeekeweka mamlaka yaliyobaki anayomungu sasa laana I atoka wapi wew unataka kuchukua nafasi ya Mungu umsifie mwezako nawew utasifiwa ukiona wivu mwezio hakifanya vizur hizo ni hila za kisgetani si roho ya Muumba wetu wana warusifa huona hila wawaonapo wengine...
  11. J

    Nchi ya kusadikika na kisa cha binti Mfalme aliyebakwa; Baba wa binti anapofurahia kishika uchumba badala ya mahari

    Ushemzi kweli huu sasa kutuchosha kusoma singesema Tanzania .makinikia na ukumuongelea mh raisi ndo lengo lako sasa tukujue unajua kuamdika huku mkia umeufyata achawoga kama unachosema u auhakika nacho unastahili rudi shule wew ujielewi
  12. J

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wape vityuu HAWA kanjanja uwa ujinga wao hautaisha me uwa siwaelewi na nawadharau sanaaa wmunaweza kulikuta eti linasema watanzania bana hamuekewi wakati yapo tunayarusha tunayaifath sipend dharau sasa uko tz et tunawazid Barbara rudi kwenu mkatumie zenu nyoooooo
  13. J

    Zitto: Tunapokea bil 640 na tumepoteza tril 1.8 ya capital gain ya makinikia kwa ubabe usio na tija

    Wana jamvi mnisaidie ivi kweli uyu zitto anauzalendo kweli Mkikumbuka alivyo isaliti chadema enzi za kikwete na nakuwa CCM B baada yakupewa kawadhifa kwenye bunge kale kakatamati kama fisadi akawa ashikiki kwenye chama anatoa ata Siri za chama sasa kaaxha wenzake wanakaribia uchaguz kajimega...
  14. J

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Watu najipanga kimya kimya hayo ndo mambo Ya CCM wataibuka na style yao isiyo zimika uko sisi tukifanya vikao nani awe mgimbea wa ukawa wakati wanapo kuwa wakioongoza sisi tunapaswa tujipange mapema kuondoa tofauti zao pia na zitto anapaswa aungane nawenzake lakini shida na yeye anataka aweke...
  15. J

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Daaah chademaaa au ukawaa achana nachoko choko tujipange kuchuka kiti 2020
Back
Top Bottom