Recent content by Jidu

  1. Jidu

    JamiiForums Tanzania Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

    Kuna mambo mengi ya kuzingatia wakati wa kununua AC. Hakikisha unajua ukubwa wa chumba chako ili kuweka AC sahihi katika chumba chako, hakikisha Milango na Madirisha yanafungwa wakati wote ili hewa inayohusika kupoozwa isotoke nje na kupelekea AC yako kufanya kazi kwa muda mrefu. Ukichukua AC...
  2. Jidu

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Nadhani alishasema.
  3. Jidu

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Unapojibu hakikisha unasoma kile nilichoandika, siku mtuhumu nimesema inafanania... halafu aliye 'Mtag' huyo msimulizi sio mimi. Punguza Wahaka acha Msimulizi atuletee burdani.
  4. Jidu

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Ndugu yangu hukupaswa Kutumia lugha isiyo na staha, kukuambia simulizi zinafafa kusikutoe kwenye mstari wewe tiririka na tukio lako. Hii simulizi yako nime ifanananisha na mtu aliyewahi kuiandika hapo mwanzo ikihusu mambo haya ya Ulozi!
  5. Jidu

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Shukrani sana! Zinafanana kwa kiasi fulani
  6. Jidu

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Nakumbuka kama sijasahau, kuna mtu alishawahi leta simulizi inafanania na hii ya kwako hata mazingira yana fanana. Yeye alikwenda kusoma sekondari kwa Baba yake mdogo ambaye alikuwa Mwalimu Mkuu wa shule huko Kanda ya Ziwa. Ila Kuna sehemu uliandika Veronica badala ya Vumilia ndio ikanistua...
  7. Jidu

    JamiiForums Tanzania CRDB, ZFF na Sheria Ngowi waingia Mkataba wa udhamini wa jezi za Zanzibar Heroes

    Ndio ni ndugu, Haki ndio mkubwa.
  8. Jidu

    JamiiForums Tanzania ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

    Msisahau CTN imetutoa mbali na tamthilia za Kunta Kinte! [emoji28]
  9. Jidu

    JamiiForums Tanzania Aliyewaambia kuwa dogo anataka kuwa askari ni nani?

    Rais wa Ufaransa alishawahi fanya hivi pia, kuna kijana Mhamiaji toka Africa Magharibi alishawahi kuokoa mtoto aliyekuwa ghorofani, na akazawadiwa uraia na kupewa nafasi kutumikia Jeshi la Zimamoto nchini Ufaransa.
  10. Jidu

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tv, budget yangu 1.5m, au 2m kwa Tv kali sana

    Ajaribu Hisense naona bei ya 65" unaweza pata kwa 1.8m, maduka ya Kariakoo
  11. Jidu

    JamiiForums Tanzania Hali ya maji Mto Ruaha Mkuu ni mbaya, zimetimia siku 80 bila kutiririsha hata tone la maji

    Itatuchukua muda sana ili tuweze kupata Umeme kupitia Bwawa la Nyerere! hata kama usimikaji wa mitambo kukamilika!
  12. Jidu

    JamiiForums Tanzania Miaka inavyozidi kusonga ndivyo waafrika wanazidi kuwa wapumbavu

    Badala ya kuhangaika na maji ya bahari ambayo yana utaratibu mrefu wa kuyachakata na gharama,tumekaa tukajiuliza hivi hatuna uwezo wa kutenga eneo tukachimba bwawa unapopita mto Ruvu tukawa ndio chanzo chetu cha maji,kuliko kuacha maji yakaishia baharini.
  13. Jidu

    JamiiForums Tanzania Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

    Kwetu Mtoto anaanza na miaka 6-7! Mitano (5) ni kwa hizi shule za English Medium hapo uwe umerukishwa darasa, maana unasoma chekechea kwa miaka 3!
  14. Jidu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huyu jamaa anasura isiyo na furaha!
Back
Top Bottom