Kwa aliyetumiwa usipoteze bahati kwani kampuni ipo na ofisi itakuwa mwanza Ndiyo wanaanzisha nami niliomba hyo kazi na nimesha submit requirement ikiwepo Gps favran hivyo ipo tuache kupotezana
one two kuwaambie waliokutuma kazi hyo ni ngumu. Mimi binafsi nimeapa kumpigia kampeni ashinde hivyo jiandae tukutane majukwaani. Nina mashaka umetumwa na Sitta,membe. Wewe ungetafakari ulichokiandika.
zeMarcopolo unadhani unamtaka MOD afute hyo post kwa lipi? Wewe na wengine wachache mnaetegemea kuishi kwa kupitia ccm, hiyo ndio siasa uchara kama ukubaliki bora ukae pembeni. Mwisho wenu tayari umefika.
kama kweli umegundua mwenyewe bila kuambiwa basi chukua maamuzi unayona wewe ni ya busara. Nakupa mfano wakati mmoja nikiwa mwanafunzi kuna rafiki wangu wa kiume alikuwa na msichana na akawa anaiba kwa jamaa mmoja . Hvyo wanawake sio watu wema ila sio wote.
hatimaye kijana vuvuzela kajitikeza bila haya,kumbe mlivyowauwa watanzania wenzenu kisa umeya. Mwisho wetu umetimia wewe Nape na wanafiki wenzako mmezunguka nchi kumchafua lowasa mbona umenyea kaka kuku aliyenyeshewa. Kwanza wewe ni kijana ambaye uelewi ufanyalo.nakushauri soma alama za nyakati.
USHAURI WA WANAZUONI WA KIMASAI KWA SERIKALI YA TANZANIA JUU YA UMEGAJI ARDHI LOLIONDO WILAYANI NGORONGORO
UTANGULIZI.
Tanzania ni nchi kubwa sana yenye takriban kilomita za mraba 942,832 ikilinganishwa na nchi zingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kama vile Uganda, Kenya, Burundi na...
haki ya mtu haiwezi kufichwa kwa pesa leo ukweli umedhihirika mbele za mungu.Nchemba,Nape,muuaji wa tembo kinana wameumbuka .aibu na laana zitawafuata.
PORI TENGEFU LA LOLIONDO
Pori Tengefu la Loliondo linapatikana mashariki mwa hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Eneo hili linajumuisha vijiji vingi halali vya Tarafa ya Loliondo ambavyo vinatambulika kwa mujibu wa sheria mbali mbali tangu wakati wa ukoloni hadi sasa. Vijiji hivyo ni...
Having a big rear is considered sexy for the majority of man. Its not just a sign of a healthy individual bit it also looks great in jeans. In fact, many ancient fertility statues discovered all around the world have shown to have a enormous butt. Granted that its probably to emphasize the...
Having a big rear is considered sexy for the majority of man. Its not just a sign of a healthy individual bit it also looks great in jeans. In fact, many ancient fertility statues discovered all around the world have shown to have a enormous butt. Granted that its probably to emphasize the...
zemarcopolo mara nyingi nimekuwa nikikufuatilia sana kila mara unataka kila siku wewe unataka unachofikiri kwa uelewa wako wengine wakubali bila kufikiri kama wewe
karibu.
Swali je nini hatima ya wakazi wa wilaya ya ngorongoro haswa tarafa ya loliondo ambao serikali yako imekuwa kila siku ya mungu majibu tatanishi juu ya mgogoro wa ardhi loliondo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.