Recent content by jichola3

  1. jichola3

    Halotel USB Modem hazifanyi kazi kwenye window 10

    [SOLVED] Nime-update drivers na sasa hivi kila kitu ni shwari. Ninawashauri mwende na laptop zenu dukani na mjaribishe hizi modem kabla ya kununua. It's all good.
  2. jichola3

    Halotel USB Modem hazifanyi kazi kwenye window 10

    Idadi ya PC sio issue. Unatumia OS ipi?
  3. jichola3

    Halotel USB Modem hazifanyi kazi kwenye window 10

    Nimetoka makao makuu ya Halotel sasa hivi. Wamethibitisha kwamba ni kweli kwa sababu nilifikiri tatizo ni kompyuta yangu. Sent from my HTC One M9 using JamiiForums mobile app
  4. jichola3

    Halotel USB Modem hazifanyi kazi kwenye window 10

    Wakuu, 3G USB modem mpya (D6602) za Halotel hazifanyi kazi kwenye Windows 10. Chukueni tahadhari kwa sababu hupewi taarifa wakati unanunua.
  5. jichola3

    Fraudster Alert

    Una akili timamu kweli?
  6. jichola3

    Fraudster Alert

    Wakuu, chukueni tahadhari na mtu anayejitambulisha kama Mr. William Mbeya kwenye masuala ya ajira yani "job adverts". Anajifanya kama HR wa BancABC na ana-post kazi kwenye tovuti kama ZoomTanzania nk. Anatumia email hizi: williammbeya45@yahoo.com na hrbancabc@gmail.com Mshenzi mwingine anaitwa...
  7. jichola3

    Barabara wilaya za Ulanga na Malinyi hazipitiki kipindi hiki

    Wakuu, sasa hivi Wilaya za Ulanga na Malinyi hazifikiki. Barabara iko hivi:
  8. jichola3

    Mbuga ya Mikumi inahitaji kikosi cha uokoaji barabarani

    Wakuu nilipitiwa kwenye kujaza mafuta ya kutosha kwenye gari langu juzi juzi nikaingia mbuga ya Mikumi usiku wakati ninaelekea Iringa. Kwa kweli hali ilitisha sana kwani nilikuja kushituka wakati nimeshazama kilomita kama 35 hivi. Bahati nzuri nilijikokota mpaka geti kuu lakini mapokezi hayakuwa...
  9. jichola3

    Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

    Ahsanteni kwa kunihudumia miaka yote Celtel/Zain/Airtel lakini it is time to say goodbye.
  10. jichola3

    Mwenge-Tegeta Road: Poorly designed, poorly constructed! Nani awajibike?

    Ni kweli Mkuu. Ninafikiri suluhisho moja ni kuweka traffic lights na barbara ya tatu unapokaribia junction kama ya Tanki Bovu kama pale Namanga unapotoka Bagamoyo Road kwenda Kimweri Avenue.
  11. jichola3

    Education fail

  12. jichola3

    Maisha yanaendelea Mto Kilombero

    Wananchi wilayani Ulanga wamerudi mwaka 47 baada ya kivuko cha Mto Kilombero kuzama na kupoteza maisha ya watu. JWTZ wanafanya kazi ngumu ya kuwavusha abiria kwa boti za kasi huku wavuvi wakisaidia kubeba mizigo kwa mitumbwi ya kienyeji.
  13. jichola3

    Mwezi mmoja kubadilisha herufi moja la jina langu kwenye Airtel Money

    Wakuu nimeambiwa itachukua mwezi mmoja kubadilisha herufi moja ya jina langu kwenye Airtel Money. Can it be? Jamaa wanatumia computer system ya aina gani? Yani nime-blo.
  14. jichola3

    Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Commercial jets zitazunguka hewani (holding pattern) leo kwa sababu haziwezi kutua uwanja wa ndege.
  15. jichola3

    Sights and Sounds in Dar es Salaam

    Huyu ndio Bwana Mlowa wa Iringa na baisikeli yakipekee akipita Drive Inn mida hii. Sisi ni wabunifu sana!
Back
Top Bottom