Mwezi mmoja kubadilisha herufi moja la jina langu kwenye Airtel Money

jichola3

Member
Dec 24, 2013
25
4
Wakuu nimeambiwa itachukua mwezi mmoja kubadilisha herufi moja ya jina langu kwenye Airtel Money. Can it be? Jamaa wanatumia computer system ya aina gani? Yani nime-blo.
 
Mi niliwaendea ofisini kwao wabadilishe jina wakaniambia computer zinasumbua nikachoka tu hadi leo natumia jina lisilolangu.
 
Mimi niliibiwa/poteza laini yangu tangu tarehe 12/12/2015 lakini mpaka Leo wananipiga danadana! I do no what's wrong with this telecom company?? Have they enough customers?? I have been using that line since 2003! ...my number starting with 0787....5...00! Any one who can help me to recover this number if possible!
 
Mkuu nenda pale Airtel Shop JMO Morogoro Road na Samora.
 
Wakuu jichola3 na GOD baba nendeni Airtel makao makuu Morocco mataa,hiyo yakubadilisha jina siijui but ku-renew line mtu huchukui nusu saa pale unless hujakamilisha masharti,nimeshaenda sana kufnya hayo,muhimu uwe na kitambulisho chochote na kufahamu mara ya mwisho salio uloweka bei gani na at least namba tano au tatu za mwisho kuzipiga.
 
Wakuu nimeambiwa itachukua mwezi mmoja kubadilisha herufi moja ya jina langu kwenye Airtel Money. Can it be? Jamaa wanatumia computer system ya aina gani? Yani nime-blo.
Airtel washenzi sana hata ukipiga customer care una riport tatizo serious hao vibaka wanaopokea wanakumbia wanaripoti kwa wahusika na utapigiwa ndani ya masaa 24 and trust me you will never ever be called it's just a waste of time. Crazy
 
Back
Top Bottom