Ingawa pia sina hakika kama umefanya uchunguzi wa kina kujua kama haya maknisa ya kiroho hayatoi huduma ya kijamii. Mimi najua yanatoa sana katika level yao ya kiuchumi.Primary purpose ya makanisa ya kiroho kikwelii ni kupeleka injili hivyo bajeti kubwa sana inaelekezwa huko. Na ukifuatilia...
Unamaanisha nini kusema makanisa ya watu binafsi halafu ukayaita ya kiroho? kuna makanisa kama TAG, EAGT na mengineyo yasiyo ya watu binafsi na ni ya kiroho. Ungechora mstari kwenye hilo kwanza.
Ndo nimeshangaa nimesoma comments za watu hata ambao nahisi ni wahasibu wenye CPA hawakuweza kumsaidia mleta uzi na wachangiaji wengine kuwa huyu Prof ndo alikuwa mwenyekiti wa NBAA baada ya Prof. Assad
mkuu wewe umesoma hiyo kozi? ulipofanya application si ulikuwa unajua kuwa wanalipa kwa dola? sasa kilio hiki kimetoka wapi? na kwa ufahamu wangu hivi vyuo huwa wana MoU ambayo inavifanya vyuo hivi kulipa fee ya ushiriki kwa dola na gharama za kuwalipa hivyo fee wanaleta ankara za malipo ya...
Kama jambo lenyewe linavyoigawa dunia hata kwa watu pia yatatoka maoni tofauti hivyo Mahiga na Ndugai wote wapo sawa. Ila muyaonapo mambo hayo yanatokea wale wenye tumaini katika Kristo Yesu changamke maana mwisho wa karibia
Inawezekana kabisa mkuu. Nimekuwa boss wa mke wangu kwa seven years kabla ya yy kuhamia sehemu nyingine. Changamoto iliyokuwepo ni kwamba mm ndo napitisha payment kabla hazijaenda kwa boss wangu for those seven years sikuwahi mpitishia malipo wakati wengine nilikuwa nawapitishia hapo ndo kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.