Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Hii ni kama strategy ya ukawa kujenga mgombea wake kwa mwaka 2020, baada ya kuone appointment ya Katibu mkuu kukosa mwito ndani na nje ya muunganiko huo.

Kauli na matendo ya Lisu yanaonyesha muelekeo wa kujijenga kisiasa kwa lengo la kugombea nafasi hiyo.

Ikumbukwe kwamba bado kuna pingamizi za ndani kwa ndani ukawa kama Lowasa atasimama kwa tiketi hiyo ifikapo uchaguzi mkuu, hii ni kutokana na yeye kuzidi kupungua ushawisi ukilinganisha na kipindi cha uchaguzi wa 2020.

Saikolojia ya mwanadamu unaonyesha kwamba mtu anayekipinga kitu flani sana either anakipenda sana au anahisi kama aliyenacho hastahili kuwa nacho isipokua yeye.

Saikolojia hii ndogo inapelekea wengi wetu kuanza kunyanyua kope za macho na kujiuliza nia halisi ya Lisu baada ya kuona na kusikia haya aliyoyafanya hivi karibuni.

Je, huu ndio mwanzo wa safari ya kugombea nafasi hiyo 2020, na mwendelezo wa matukio toka kwa mwanasiasa huyo?
Mtajikuna mpaka kwenye ulimi safari hii. Mara mropokaji, mara msaliti, ooh 10%, leo mara raisi. Na huyo ni Lissu tu, sijui mikutano ingekuwepo ingekuwaje!!!!!????
 
Mbona vitu vya chooni?

Au ndo picha halisi?
IMG_20170821_220743_467.JPG
 
Wakuu , naomba nitakaowakwaza mnisamehe .

Kwanza naomba nikiri kwamba mimi si mjuzi sana wa maandiko matakatifu , lakini nilifuatilia baadhi ya Mateso waliyoyapata mitume wa Mungu , akiwemo Yesu Kristo wa Nazaret .

Pamoja na Bwana Yesu kuletwa duniani kama mkombozi na habari zake kutangazwa kwa jamii lakini bado watawala wa wakati ule walimnyanyasa na kumtesa sana ! ( kila mmoja wetu anajua visa alivyokumbana navyo yesu ).

Sasa nikimuangalia kwa jicho la 3 Mh Lissu naanza kupata HOFU YA MUNGU ILIYOJAA MATUMAINI kwamba huenda huyu pia ni MTUME WA MUNGU , Mambo mazito ya kweli anayoyasema na kuwafumbua wananchi yanasisimua mno ! Hata hivyo pamoja na uzalendo wote alionao bado watawala wamepofushwa na kuendelea kumkamata mithili ya wahalifu wengine !

Je hii ni kutimia kwa utukufu wa Mungu ?
 
Ndo pa kuzaa naye hapo ili mpate Watoto Mitume pia, kama bado hauajafikia meno pause, who knows?
 
Wakuu , naomba nitakaowakwaza mnisamehe .

Kwanza naomba nikiri kwamba mimi si mjuzi sana wa maandiko matakatifu , lakini nilifuatilia baadhi ya Mateso waliyoyapata mitume wa Mungu , akiwemo Yesu Kristo wa Nazaret .

Pamoja na Bwana Yesu kuletwa duniani kama mkombozi na habari zake kutangazwa kwa jamii lakini bado watawala wa wakati ule walimnyanyasa na kumtesa sana ! ( kila mmoja wetu anajua visa alivyokumbana navyo yesu ).

Sasa nikimuangalia kwa jicho la 3 Mh Lissu naanza kupata HOFU YA MUNGU ILIYOJAA MATUMAINI kwamba huenda huyu pia ni MTUME WA MUNGU , Mambo mazito ya kweli anayoyasema na kuwafumbua wananchi yanasisimua mno ! Hata hivyo pamoja na uzalendo wote alionao bado watawala wamepofushwa na kuendelea kumkamata mithili ya wahalifu wengine !

Je hii ni kutimia kwa utukufu wa Mungu ?
Bavicha mnakufuru Sasa. Yaani huyo msema ovyo awe mtu sawa Na Mohammed au Yesu?
 
Mhe. Tundu Lissu amekuwa kiongozi pekee aliyesimama hadharani na kusema; Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania anavyolishughulikia suala la makinikia ya ACACIA anakosea. Akaenda mbali zaidi na kusema, ili aweze( Rais) kufanikisha lengo la msingi la kuliondoa taifa katika unyonyaji wa makampuni makubwa ya kimataifa ni lazima aanzie kwenye kujitoa kwenye mikataba ya kimataifa tuliyokwisha kuiridhia ili isitubane kwa vyovyote. Baada ya hatua hiyo ndio ayabane hayo makampuni na tutumie mahakama zetu kuyashughulikia masuala hayo. Na hapo tutakuwa salama. Akaweka tahadhari, kama hatutajitoa na tukavunja mikataba na makapuni hayo tukishitakiwa kwenye mahakama ya usuluhishi, tozo zitatolewa kwa makampuni hayo na mali za Tanzania zitakamatwa.

Baadhi ya watu hasa wanaccm na kwa bahati mbaya zaidi hata wasomi wakaanza kumshambulia Mhe. Tundu Lissu kuwa hana uzalendo kwa taifa lake! Wakaenda mbali zaidi na kumzushia tuhuma kuwa ni kibaraka wa makampuni wa kigeni kwa ajili ya masilahi binafsi!
Wakati masimango hayo yakiendelea, Bombadia yetu ikakamatwa kwa misingi ile ile aliyokuwa anailezea Mhe. Lissu. Watu wasivyokuwa na aibu badala ya kukiri na kumpongeza Mhe. Lissu kwa kutufungua macho, wakaja na hoja kuwa Mhe. Lissu ndiye aliyewasidia kukamata ndege na maneno kibao!

Wakati huo huo majadliano kati yetu( serikali yetu) na ACACIA yanaendelea, lakini aliisha tupa ( Mhe. Lissu) tahadhari kuwa; kwa mikataba iliyopo na makampuni haya hatutamabulia lolote la maana. Wamekuja, tumewaona ila hatujaoneshwa wakiondoka. Hatujapewa taarifa ya matokeo yakilicho jadiliwa. Ukimuuliza Mhe. Tundu Lissu nini kitapatina atakwambia hakuna la maana sana litapatikana na huo ndio utakaokuwa ukweli.

Wakati umefika wa kuanza kumtumia Mhe. Tundu Lissu kwa maslahi mapana ya taifa, atatutoa.
Nimalizie kwa kumuomba Rais wetu amteue asimamie nishati na madini.
 
Unadhani ninani atampa kura mtu kama Lissu??? Mwenye hakili timamu hawezi kumpigia kura.. Uongozi ni hekima, busara, nidham pia. Ajifuze kitu kupitia Lowassa, na mbowe.. Hawa ni wastarabu hawana siasa za hovyo. Niwapinzani wa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mtu mzima na nina akili timamu .
Endapo nitakuwa hai wakati Wa uchaguzi 2020 na kama Lisu akiwa ni mmoja wa wagombea Urais lazima nimpe kura yangu na nitahakikisha kwenye familia yangu wote watakaopiga kura wanampigia yeye
 
Unadhani ninani atampa kura mtu kama Lissu??? Mwenye hakili timamu hawezi kumpigia kura.. Uongozi ni hekima, busara, nidham pia. Ajifuze kitu kupitia Lowassa, na mbowe.. Hawa ni wastarabu hawana siasa za hovyo. Niwapinzani wa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie wenyewe na polisi wenu mmemjengea Lissu popularity kubwa sana kwa muda mfupi sana! Sasa hivi ukiitisha uchaguzi wa Urais na ukaweka wagombea JPM na Lissu, uchaguzi ukawa huru na wa haki bila vyombo vya dola kupendelea au kuhujumu upande wowote, ndio utajua kuwa nani ni nani!!!
 
Back
Top Bottom