Recent content by jicho sikio

  1. J

    JamiiForums Tanzania Polepole ataka Zitto Kabwe achukuliwe hatua kwa kupotosha ripoti ya CAG, amtaka 2020 atafute kazi nyingine

    Kama ninaruhusiwa kuchangia mawazo, nionavyo mimi hii 1.5 SI za umma
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ni chanzo cha kukwama kwa utekelezaji wa miradi Serikali isibebeshwe msalaba!!

    Wanasiasa huwa wanafikia muafaka hata kama hawaupendi. Kilichoshindikana hapo NI makubaliano ya mgao!! Mafisadi katika ubora wao uliotukuka
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali haijatoa misaada kwa walioathirika na mafuriko

    Hawa wahanga huwa wanawatukana mamba kabla hawajavuka mto Wacha yawakute Iko siku watatia akili
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lissu na Mbowe wanastahili pongezi

    Kasuku - mmeshapata mwimbo mpya. Lini mtajiongeza!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    walotoa taarifa hizo wote wachukuliwe hatua kali za kisheria kwa kutoa takwimu zisizo sahihi
  6. J

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai arejea nyumbani toka kwenye matibabu India

    alkchofanya cha muhimu ni kurudi na ndege zetu!! HONGERA
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada kutua nchini wakati wowote

    wafichua Siri za aibu za serikali na viongozi huwa wanawindwa na kuandamwa kama LISU badala ya kupongezwa na kupewa zawadi wanamiminiwa risasi kwani zinakuja na yule mgonjwa wetu aliyepo India!?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

    ugeni wako usiwe sababu. baada tu ya kusoma kichwa cha habari sikutaka kuendelea. na jibu lako unalostahili ni "saa saba mchana" karibu jamvini!!
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Israel na ujasusi wa kiuchumi

    nchi kubwa nyingi zinatamani kuiweka tanganyika mfukoni miongoni mwao NI wabaguzi wakubwa Israeli ili kuua ushawishi wa iran
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    isipokuwa ununuzi wa wabunge na madiwani? ni bora TU angewaelekeza mapolisi wafanye hayo maombi maana ndiyo washiriki wake wakuu!! siyo maaskofu ambao wameshatimiza wajibu wao
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mji wa MECCA ndio mji pekee wenye maji ya maajabu duniani...

    chunga maandiko yako maana sijawahi kusikia tanzania inahiji huko maka ninajua NI watu sio nchi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya mchungaji wa KKKT aliyekamatwa vyakusanywa

    majibu kama hayo yalimtokea puani Nape hao uliowataja wote wanasubiri nakala ya majibu kutoka JUU!!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Muda wa demokrasia ya vyama vingi Tanzania ulikuwa bado, tuliharakishwa tu

    tanganyika imepata Uhuru mapema sana ilifaa uhuru ungepatikana mwaka 3001 mabalaa yote haya tusingeyashuhudia
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    bora tanzania masikini yenye demokrasia kuliko Tanzania tajiri yenye dikteta umasikini wa udikteta undondocha/misukule
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tuwape makamanda mkakati....

    PAMOJA na katiba hii hii mbovu Lakini walijiongeza kwa JUHUDI zao BINAFSI. walikesha katika majumuisho hadi kikaeleweka!
Back
Top Bottom