Serikali haijatoa misaada kwa walioathirika na mafuriko

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,685
Reaction score
6,768
Wakuu

Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha, mpaka sasa serikali haijajihusisha na utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa mafuriko kwa Tanzania Dar es salaam na huko Zanzibar.

Misaada inayozungumziwa hapa ni ile inayohusu malazi na chakula, kiukweli sijapata kuona wala kusikia serikali ikilifikiria swala hili ambalo ni muhimu kuliko vyote

Ni kweli wanaopatwa na janga hili walikwisha amuliwa hapo awali wahame mabondeni lakini ndio hali ya watanzania hivyo serikali inatakiwa ithamini wananchi wake

Au mpaka UN ilete maturubai na msosi ndio nshituke?
Mafuriko ni janga kama majanga mengine, serikali mliangalie hili hata kwa kugeukia kwa mfuko wenu wa maafa.
 
Kuna watu walishapewa viwanja lakini bado hawataki kuhama then wanapata matatizo (ya kujitakia) unalaumu serikali....hapo sioni tatizo la serikali kukaa kimya, ingekuwa hawajapewa mahali pa kuhamia ningeilaumu serikali....kuna watu wanataka kuchukulia haya majanga pia sehemu ya kutokea.

Ukiona kule ulipopelekwa hapakufai maana hakuna mzunguko wa pesa au sababu nyingine yoyote ukaamua kukomaa sehemu hatarishi, ikitokea hatari unatakiwa upambane na hali yako.
 
Hapa kazi tu! [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwa hiyo waliambiwa kwa unyenyekevu wahame mabondeni wakakataa alafu unasapoti kabisa wapewe misaada??
 
Tatizo ni pesa. Kwa sasa wana uhaba wa hela hata za kutimizia mahitaji ya nusu budget iliopitishwa na bunge. 2016-2017 1.5Trillion matumizi yake hayaonekani na kuna uwezekano mkubwa 2017-2018 trillion 2.5 hazitaonekana vilevile.
 
Nami nijiandae miezi ya 9 na 10 mwaka huu nikatafute sehemu yenye nchi kavu ndani ya mto ruaha nikajenge nyumba ya maana, msimu wa mvua ukija najua serikali ipo itanipa msaada wa hali na mqli
 
Wakuu

Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha, mpaka sasa serikali haijajihusisha na utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa mafuriko kwa Tanzania Dar es salaam na huko Zanzibar.

Misaada inayozungumziwa hapa ni ile inayohusu malazi na chakula, kiukweli sijapata kuona wala kusikia serikali ikilifikiria swala hili ambalo ni muhimu kuliko vyote

Ni kweli wanaopatwa na janga hili walikwisha amuliwa hapo awali wahame mabondeni lakini ndio hali ya watanzania hivyo serikali inatakiwa ithamini wananchi wake

Au mpaka UN ilete maturubai na msosi ndio nshituke?
Mafuriko ni janga kama majanga mengine, serikali mliangalie hili hata kwa kugeukia kwa mfuko wenu wa maafa.
Walipewa viwanja wakaviuza na waliapa hawatahama; Wasaidie wewe mungu atakulipa.
 
Wao nao waache ubishi waondoke maeneo hayo haiwezekani kila msimu wa mvua wao ni kuhitaji misaada tu. Matatizo mengine ni ya kujitakia. Kila wakiambiwa waondoke wabishi utadhani nchi imekwisha hakuna sehemu nyingine za kuishi. Serikali nayo iache siasa nvua ikiisha ibomoe nyumba zote zilizopo mabondeni. Mbona Mkwajuni walibomoa sasa fikiria kama wangekuwa hawakubomoa hali ingekuwaje leo? Tatizo wataalamu wakishauri wanakuja wanasiasa wanaanza kujifanya wanawatetea. Ubungo mpaka Kiluvya watu wamebomolewa na wanaendelea kubomolewa nyumba na maisha yanaendelea. Hao wa msbondeni wana nini? Kama ni misaada walitakiwa sasa kupewa watu wa Kimara hadi kiluvya. Hatuwezi kuwa tunawapa misaada watu wale wale kila mwaka. Penye ukweli lazima tuseme!

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Msaa wanaoweza kutoa ni kuwasha HEDIKOPTA na kupita juu wakiwachungulia wahanga wa mafuriko,

Kati ya mikoa ambayo hakutakiwa kuwa na msamiati mafuriko ni Dasalama,

Aliepokea daraja la jangwani na kurusu kujenga zile ofisi pale kwenye hifadhi ya mto sijui yuko wapi mda huu
 
Wakuu

Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha, mpaka sasa serikali haijajihusisha na utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa mafuriko kwa Tanzania Dar es salaam na huko Zanzibar.

Misaada inayozungumziwa hapa ni ile inayohusu malazi na chakula, kiukweli sijapata kuona wala kusikia serikali ikilifikiria swala hili ambalo ni muhimu kuliko vyote

Ni kweli wanaopatwa na janga hili walikwisha amuliwa hapo awali wahame mabondeni lakini ndio hali ya watanzania hivyo serikali inatakiwa ithamini wananchi wake

Au mpaka UN ilete maturubai na msosi ndio nshituke?
Mafuriko ni janga kama majanga mengine, serikali mliangalie hili hata kwa kugeukia kwa mfuko wenu wa maafa.
Tunaende vizuri. tembeeni kifua mbelee .Hayo ni mafuriko ya kupita tuu .Ngojeeni tutafute hela ya Kununulia wabunge wa Upinzani wa hayo majimbo wawe wa ccm alafu turekebishe mifireji hiyo mara moja .wasi wasi ondoa tembea kifua mbelee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo waliambiwa kwa unyenyekevu wahame mabondeni wakakataa alafu unasapoti kabisa wapewe misaada??
Wewe uliambiwa na wazazi wako kwa unyenyekevu na maombi juu uwe tajiri uwakomboe .swali umeshakua tajiri mpaka umesahau ilivyo shida kujenga !!!???
 
Wakuu

Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha, mpaka sasa serikali haijajihusisha na utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa mafuriko kwa Tanzania Dar es salaam na huko Zanzibar.

Misaada inayozungumziwa hapa ni ile inayohusu malazi na chakula, kiukweli sijapata kuona wala kusikia serikali ikilifikiria swala hili ambalo ni muhimu kuliko vyote

Ni kweli wanaopatwa na janga hili walikwisha amuliwa hapo awali wahame mabondeni lakini ndio hali ya watanzania hivyo serikali inatakiwa ithamini wananchi wake

Au mpaka UN ilete maturubai na msosi ndio nshituke?
Mafuriko ni janga kama majanga mengine, serikali mliangalie hili hata kwa kugeukia kwa mfuko wenu wa maafa.
Mkuuuu kwn serikali ndio imeleta mafurikooo mkuuu
Wewe vip mkuuuu
 
Kuna watu walishapewa viwanja lakini bado hawataki kuhama then wanapata matatizo (ya kujitakia) unalaumu serikali....hapo sioni tatizo la serikali kukaa kimya, ingekuwa hawajapewa mahali pa kuhamia ningeilaumu serikali....kuna watu wanataka kuchukulia haya majanga pia sehemu ya kutokea.

Ukiona kule ulipopelekwa hapakufai maana hakuna mzunguko wa pesa au sababu nyingine yoyote ukaamua kukomaa sehemu hatarishi, ikitokea hatari unatakiwa upambane na hali yako.
wachana na mihemko!
inamaana hyyo maeneeo yalitolewa pia kwa watu wa vingunguti, mikochen, keko, na tandale?
 
Back
Top Bottom