Yeah ccm na watu wake wamechangia sana sisi kufika hapa, ccm ambayo watu ni kama mwapachu, sumaye, mkapa, kikwete, lowassa, kingunge na wengine wengi. Ajabu ya watanzania Leo hii wanawaona watu wengine ni tunu baada ya kuchefuata. Kama tuhitaji taswira mpya ya Tanzania basi ACT ndio chama...