CCM Wanusa harufu ya kushindwa uchaguzi

CCM Wanusa harufu ya kushindwa uchaguzi

Katika hali ya kubaini mambo magumu, CCM kupitia Serikali yake sasa imeanza kuvibana vyombo vya habari kuhakikisha vinaandika zaidi habari za Dr. Magufuli kuliko Lowassa. Hatua hiyo inakuja wakati tayari CCM ina vyombo vyake vinavyoipigia debe zikiwemo TV za TBC na Star TV na magazeti ya Uhuru, Daily news, Habari Leo, Jambo Leo na Raia Mwema/ Tanzania, bado inakerwa na vyombo Huru vya habari.
Hivi karibuni CCM wamemfukuza mwandishi wa habari wa Mwananvhi aliyeandika story ya Magufuli kuxomewa Mbeya na wana Chadema.
Hali hiyo inakuja baada ya kuona wanatumia fedha nyingi kwenye vyombo vya habari bila faida. Mahudhurio kwenye mikutano ya CCM ni hafifu ukilinganisha na ya mgombea wa Ukawa Edward Lowassa.
Baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari wanetishiwa kufungiwa wanapoonyesha au kuandika sana habari za Ukawa.
CCM wamekuwa wakisomba watu kwa malori tena wakiwalipa hela.
Kama hiyo haitoshi Vyombo vya serikali kama National statistics Bureau zinatumika kuonyesha uchumi unakua hata kama maisha ya Watanzania ni magumu. PPRA wao wameingia mkenge kutangaza ufisadi Tanroads sasa wanajisafisha.
CCM inatumia fedha na nguvu kubwa kumnadi Dr. Magufuli kiasi cha kuanza kutumia matusi na kejeli kwa Lowassa ili watu wamchukie, lakini ndio anazidi kupendwa.
Utafiti umeonyesha kada ya watu wa chini hasa mama ntilie, boda boda, wakulima na wafanyakazi wanaongoza kwa kumkubali Lowassa.
Juzi gazeti la Uhuru la CCM limedai eti Lowassa ametenga sh milioni 10 ili kuwahonga bodaboda baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi.

Unaendeleza urithi WA Uongo Kama WA familia yenu mlivyo wambea Mtaa Mzima
 
Hata wakichana mabango ya Lowasa, yuko kwenye mioyo ya Malofa wengi wa Tanzania!
 
Wasiwasi wangu ni jinsi mgombea wao anavyo zidi kuonyesha kutofahamu mambo mengi ya kawaisa kabisa! Ni jukumu letu tumkatae huyu mtu hasije akazulia machafuko mbele ya safari.

Mkuu ipitie tena habar yako kisha uiwasilishe upya maana inaonekana umeendeshwa name mahaba bila busara.
 
Tar 25 tutampa substution ccn na kumwingiza mabadliko 4 change ili afunge magoli ya kutosha kufuzu mwaka 2020 hatimaye kucheza fainal 2025 na kisha kulibakisha kombe. Nyumbani
 
Katika hali ya kubaini mambo magumu, CCM kupitia Serikali yake sasa imeanza kuvibana vyombo vya habari kuhakikisha vinaandika zaidi habari za Dr. Magufuli kuliko Lowassa. Hatua hiyo inakuja wakati tayari CCM ina vyombo vyake vinavyoipigia debe zikiwemo TV za TBC na Star TV na magazeti ya Uhuru, Daily news, Habari Leo, Jambo Leo na Raia Mwema/ Tanzania, bado inakerwa na vyombo Huru vya habari.
Hivi karibuni CCM wamemfukuza mwandishi wa habari wa Mwananvhi aliyeandika story ya Magufuli kuxomewa Mbeya na wana Chadema.
Hali hiyo inakuja baada ya kuona wanatumia fedha nyingi kwenye vyombo vya habari bila faida. Mahudhurio kwenye mikutano ya CCM ni hafifu ukilinganisha na ya mgombea wa Ukawa Edward Lowassa.
Baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari wanetishiwa kufungiwa wanapoonyesha au kuandika sana habari za Ukawa.
CCM wamekuwa wakisomba watu kwa malori tena wakiwalipa hela.
Kama hiyo haitoshi Vyombo vya serikali kama National statistics Bureau zinatumika kuonyesha uchumi unakua hata kama maisha ya Watanzania ni magumu. PPRA wao wameingia mkenge kutangaza ufisadi Tanroads sasa wanajisafisha.
CCM inatumia fedha na nguvu kubwa kumnadi Dr. Magufuli kiasi cha kuanza kutumia matusi na kejeli kwa Lowassa ili watu wamchukie, lakini ndio anazidi kupendwa.
Utafiti umeonyesha kada ya watu wa chini hasa mama ntilie, boda boda, wakulima na wafanyakazi wanaongoza kwa kumkubali Lowassa.
Juzi gazeti la Uhuru la CCM limedai eti Lowassa ametenga sh milioni 10 ili kuwahonga bodaboda baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi.

Ccm out
 
Wasiwasi wangu ni jinsi mgombea wao anavyo zidi kuonyesha kutofahamu mambo mengi ya kawaisa kabisa! Ni jukumu letu tumkatae huyu mtu hasije akazulia machafuko mbele ya safari.

Wa ukawa anayejua bodaboda,mamantilie na kuomba kula wabunge wa ccm ndo mjanja eh?
 
Katika hali ya kubaini mambo magumu, CCM kupitia Serikali yake sasa imeanza kuvibana vyombo vya habari kuhakikisha vinaandika zaidi habari za Dr. Magufuli kuliko Lowassa. Hatua hiyo inakuja wakati tayari CCM ina vyombo vyake vinavyoipigia debe zikiwemo TV za TBC na Star TV na magazeti ya Uhuru, Daily news, Habari Leo, Jambo Leo na Raia Mwema/ Tanzania, bado inakerwa na vyombo Huru vya habari.
Hivi karibuni CCM wamemfukuza mwandishi wa habari wa Mwananvhi aliyeandika story ya Magufuli kuxomewa Mbeya na wana Chadema.
Hali hiyo inakuja baada ya kuona wanatumia fedha nyingi kwenye vyombo vya habari bila faida. Mahudhurio kwenye mikutano ya CCM ni hafifu ukilinganisha na ya mgombea wa Ukawa Edward Lowassa.
Baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari wanetishiwa kufungiwa wanapoonyesha au kuandika sana habari za Ukawa.
CCM wamekuwa wakisomba watu kwa malori tena wakiwalipa hela.
Kama hiyo haitoshi Vyombo vya serikali kama National statistics Bureau zinatumika kuonyesha uchumi unakua hata kama maisha ya Watanzania ni magumu. PPRA wao wameingia mkenge kutangaza ufisadi Tanroads sasa wanajisafisha.
CCM inatumia fedha na nguvu kubwa kumnadi Dr. Magufuli kiasi cha kuanza kutumia matusi na kejeli kwa Lowassa ili watu wamchukie, lakini ndio anazidi kupendwa.
Utafiti umeonyesha kada ya watu wa chini hasa mama ntilie, boda boda, wakulima na wafanyakazi wanaongoza kwa kumkubali Lowassa.
Juzi gazeti la Uhuru la CCM limedai eti Lowassa ametenga sh milioni 10 ili kuwahonga bodaboda baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi.

Vipi lowasa kuomba kura,wabunge wa ccm, atashindaje,
 
Back
Top Bottom