Recent content by Jicho baya

  1. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kwa ukaribu suala la Bima ya Afya. Mzigo ni mkubwa sana kwa Mtu kama Mimi

    Tatizo sio toto card wala kuanzisha uchangiaji mpya ili mfuko wa Bima uweze kujiendesha...Kiini cha Tatizo la nchi hii ni siasa, tulipofikia ufisadi na ufujaji wa pesa za umma upo kila sekta, mfano leo tutakuja na bandari kesho ufisadi SGR,kesho kutwa riport ya CAG miaka inakimbia na kwa bahati...
  2. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    Hii nchi kwa maneno matupu na makaratasi sisiemu haiwez kung'oka the only way is hard way mpaka kenge atokwe damu sikion ndipo atajua tupo sirious,ni upumbavu kutueleza kuleta katiba mpya hadi wananchi wapewe Elimu,wkt ule wanatuletea katiba ya samwel sitta wapi walitupa elimu?? Mambo...
  3. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

    Unapoambiwa Roman wana nguvu chief elewa sio nguvu kujaza watu uwatoe mapepo,Rc ni taasisi
  4. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Hii nchi ni ya kifalme iwe mnavyotaka nyie na sio katiba mkuu?
  5. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Suala la Bandari halihitaji kuamuliwa na Mahakama za Sheria bali Mahakama za Umma. Gesi yote, Dhahabu yote na sasa Bandari vimekwenda!

    Kenge huwa hasikii hadi atokwe damu sikioni haya makelele ni chura kwa ccm,inahitajika kupitia njia ngumu baadae vizazi vinehemeke aman imetupumbaza,hatuwezi taka pepo huku tunaogopa kufa.
  6. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi Mwenye misimamo na Utulivu wa Kiuongozi

    Hili shairi sina shaka umepewa nakala na kheri James,shairi aliokuwa akiwaimbia wasukuma waliosimama juani wakisubiri wale pilau,kisha jioni ifike wabebwe na mabasi ya msukuma coach warejee vijijini taratiiibu,kabla Bw. james hajateuliwa uenyekiti kamati ya ulinzi pale wilayani.
  7. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Historia ya kanisa la Waadventista Wasabato (SDA)

    Sabato ilikuwa kwa ajili ya wana wa israeli ili kikumbuka Mungu alipowatoa Misri, hawa wengine SDA wanamfuata mtume wao elen G white .
  8. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Haya kama vile mawazo ya mbunge mtaafu wa arachuga,,,mzee wa no fear,by the way asante kututia moyo japokuwa safar bado
  9. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa kuoa na kuolewa ni upi?

    Kudumu kwenye ndoa haina uhusiano moja kwa moja na umri sahihi wa kuwa mwanandoa,cha msingi uwe umekomaa kifikra na kuwa na uwezo wa kuzikabili changamoto, japo sikatai pia ukiingia ndoani mkiwa vijana sana pasipo kumaliza kiu ya tamaa za ujana za kujaribu kila kitu, inaweza athiri ndoa.
  10. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuingiza Ukraine ndani ya NATO waanza rasmi

    Naomba putin ashindwe vibaya hii vita maana analeta economic depression na njaa duniani with his own interest.
  11. Jicho baya

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga alalamikia Rushwa kwenye Chaguzi za CCM

    Bananga ni tangatanga lala popote
Back
Top Bottom