Tunashukuru kwa umakini wako wa kuchambua hoja, but mbona nilisikia utaratibu umebadilika kwamba majina.yote yataanzwa kupelekwa nec wachague watu wa5 kama walivyofanya kwa kikwete hawakuanza kwenye cc coz chanzo cha ndani wanadai jakaya alikuwa hakubaliki kwenye cc baraza la ushauri...
Unajua nashangaa kusoma comments za hovyo za wale wanaomponda mtia nia wa urais
Cha msingi kama wasomi na wadau wa siasi tusikilize, tupime, tuchambue hoja zao na vipaumbele zina mashiko?
Tanzania ilipofika inapumulia mashine, chama tawala kimechoka, viongozi wake wamecost hili taifa sana...
Unajua nashangaa kusoma comments za hovyo za wale wanaomponda mtia nia wa urais
Cha msingi kama wasomi na wadau wa siasi tusikilize, tupime, tuchambue hoja zao na vipaumbele zina mashiko?
Tanzania ilipofika inapumulia mashine, chama tawala kimechoka, viongozi wake wamecost hili taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.