Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
"Amini ,usiamini, Mgombea Urais CCM ni Prof. Mwandosya..."
Haya ni maneno ya Rafiki yangu ambaye Yupo karibu sana na waheshimiwa wakubwa CCM(CC).
Alichoniambia ni kwamba
Tano(5) Bora ni...
1. Magufuli
2. Agustino Ramadhani
3. Sitta
4. Mwandosya
5.Pinda
Baada ya mchakato wa kwanza watabakizwa
1. Agustino Ramadhani
2. Pinda
3. Mwandosya
Baada ya Mchakato huuu.
Mwandosya atashinda ndiye atakayeteuliwa kuwa Mgombea kupitia CCM
wakati huo huo Mgombea Mwenza atakuwa Agustino Ramadhani
Iwapo Prof. akishinda Urais kwenye uchaguzi mkuu
Mwandosya -Rais
Magufuli- Waziri mkuu
Agustino Ramadhani- Makamu wa Rais
Kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
ni ukweli usiyofichika Lowassa na Membe Hawatapitishwa Tano bora... Yangu macho